lordchimkwese
JF-Expert Member
- Nov 16, 2015
- 1,914
- 3,356
Vumbi linachelewesha kumwaga tu kama husimamishi vizuri vumbi halisaidii chochoteAcheni kupotosha..Vumbi la Kongo haliwezi kuwa mbadala wa Viagra kwa wazee..Sildenafil zinapunguza pressure kwa kufanya mirija ya dushe kutanuka na kujaa damu vizuri..i.e inasaidia mwanaume adindishe vizuri na kwa muda mrefu kwa wenye tatizo la erectile dysfunction
vijana hawezi kazi siku hizi retired officers tumeamua kurudi kazini, RIP kamandaViagra vinahusika hapa.
Ila wazee nao!
Yani mpaka leo hawataki kukubali matokeo!
Immorality doesnt see gender. Tunagegedana na pia sie wanaume tunadeal na matokeo ya matendo yetu kama hivyo jamaa kudedi juu ya papuchi.“Matokeo ya matendo yao”.......wanajifanya wenyewe sio?!?
The immorality of Men triumphs over the amorality of women! You can’t use them and abuse them at the same time, learn to stick to your morals!
Haya mambo ya kulala na mtu ( ambae sio mke/ mume wako mpaka asubuhi mizinguo kweli
ukiona manyoyaBado mzee ndosi .. ana miaka 70 + anakula vitoto vya miaka 25 . Anakaa kibaha. Lodge anaenda kutafuta tabata. Juzi kamtumia demu wangu 70,000 alafu anajifanya kakosea namba. Naamini siku zake na yey zinahesabika
Dah ndo naumaliza huu uzi
Ila nimecheka leo [emoji28][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
Nani kasema wamaasai wanazeeka hilo zee bado lina nguvu...Kuna lizee limoja la kimaasai tupo nae kitaa juzi kati alimwinamisha mdada wa umri huou tupo nae kitaa kimoja pia, mdada akapata 60 yake a kaweka mfokoni, yule dada alikunja roho ili apatemo kodi ya nyumba . maana sio kwa lizee lile jamani 😢😢
. Hawa wazee wa siku hizi hawana dogo
😅😅😅😅Bado mzee ndosi .. ana miaka 70 + anakula vitoto vya miaka 25 . Anakaa kibaha. Lodge anaenda kutafuta tabata. Juzi kamtumia demu wangu 70,000 alafu anajifanya kakosea namba. Naamini siku zake na yey zinahesabika
Familia ya babu je itamwacha salama? hapa kuna usumbufu usio wa lazima coz kesi kama itakuwa polisi bado wataanza zile usitoke nje ya makazi mpaka ruhusa kipindi chote cha shauri hili yaani kifupi kutakuwa na usumbufu wa hapa na pale otherwise kama familia itatupilia mbali ishu iliyopo Polisi kwa ajili ya kuendelea kulinda privacy ya Mzee aliyetangulia ndio pona ya binti.Watamfanyaje kwani? Babu si kajifia?
vijana hawezi kazi siku hizi retired officers tumeamua kurudi kazini, RIP kamanda
Immorality doesnt see gender. Tunagegedana na pia sie wanaume tunadeal na matokeo ya matendo yetu kama hivyo jamaa kudedi juu ya papuchi.
Mingine ndio kama vile kuwa na mtazamo hasi juu ya wanawake, kuchapiwa wake zetu the list is endless.
Tena fedheha kubwa. Mzee anajilipua na mtoto mdogo. Akaishia kulipukiwaPole kwa mkewe. Fedheha hii.
Hiyo ni kesi ya jinai vingine proved otherwiseFamilia ya babu je itamwacha salama? hapa kuna usumbufu usio wa lazima coz kesi kama itakuwa polisi bado wataanza zile usitoke nje ya makazi mpaka ruhusa kipindi chote cha shauri hili yaani kifupi kutakuwa na usumbufu wa hapa na pale otherwise kama familia itatupilia mbali ishu iliyopo Polisi kwa ajili ya kuendelea kulinda privacy ya Mzee aliyetangulia ndio pona ya binti.
And that's my pointVumbi linachelewesha kumwaga tu kama husimamishi vizuri vumbi halisaidii chochote
Nionyeshe Habari ya mwanamke wa umri wa miaka 80 aliefia lodge kwenye kifua cha kijana wa miaka 35?! Almost impossible right?
Sometimes we refuse to see how bad something is until it completely destroys us! You could never play a root and a branch at the same time!
Nashukuru kapatikana mtaalam. Na je, kichwa kuuma, kizunguzungu na mapigo ya moyo kuongezeka baada ya kutumia hiyo Viagra, yenyewe unaiongeleaje hiyo mkuu? Kwa msaada wa wazee tulionao humu.Acheni kupotosha..Vumbi la Kongo haliwezi kuwa mbadala wa Viagra kwa wazee..Sildenafil zinapunguza pressure kwa kufanya mirija ya dushe kutanuka na kujaa damu vizuri..i.e inasaidia mwanaume adindishe vizuri na kwa muda mrefu kwa wenye tatizo la erectile dysfunction
Those are biological impossibilities, but the reverse is possible. Note; at 45-50, ends sensible sex to moms but to pas up to 90 is possible!Nionyeshe Habari ya mwanamke wa umri wa miaka 80 aliefia lodge kwenye kifua cha kijana wa miaka 35?! Almost impossible right?
Sometimes we refuse to see how bad something is until it completely destroys us! You could never play a root and a branch at the same time!
Kulikuwa na haja gani ya kutaja "binti wa KIPARE" are you guys trying to demoralize their dignity? Kwanini hivyo yani?