Babu/ kijana wa mjini siku hizi akiwa ana miadi ya kupiga show, maandalizi yake ni;
chipsi mayai, mishikaki, soda, maji, alkasusu, vumbi la Congo, viagra, bia, pombe kali, bange. Hapo sasa kidume eti anajisifu anaingia uwanjani kupambana na Messi.[emoji848]
Babu/ kijana wa bush akiwa ana miadi ya kupiga show huyo yeye hata hana haja ya maandalizi kwasababu maisha yake ya kila siku tu ni maandalizi tosha. Kazi anazozifanya za kusukumana na magogo porini kuandaa magunia ya mikaa, shamba, lishe yake ni dona na kisamvu cha chukuchuku. Babu au kijana wa bush akikugegedea demu/ mkeo umekwisha maana hao jamaa hawanaga utani kabisa kwenye hiyo wizara ya mambo ya ndani.