TANZIA Mzee David Makerege (80) Afariki Dunia Akiwa Chumbani Kwenye Hoteli ya Mbezi Garden Jijini Dar es Salaam

Acheni kupotosha..Vumbi la Kongo haliwezi kuwa mbadala wa Viagra kwa wazee..Sildenafil zinapunguza pressure kwa kufanya mirija ya dushe kutanuka na kujaa damu vizuri..i.e inasaidia mwanaume adindishe vizuri na kwa muda mrefu kwa wenye tatizo la erectile dysfunction
Vumbi linachelewesha kumwaga tu kama husimamishi vizuri vumbi halisaidii chochote
 
Dah ndo naumaliza huu uzi

Ila nimecheka leo [emoji28][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
 
“Matokeo ya matendo yao”.......wanajifanya wenyewe sio?!?

The immorality of Men triumphs over the amorality of women! You can’t use them and abuse them at the same time, learn to stick to your morals!
Immorality doesnt see gender. Tunagegedana na pia sie wanaume tunadeal na matokeo ya matendo yetu kama hivyo jamaa kudedi juu ya papuchi.

Mingine ndio kama vile kuwa na mtazamo hasi juu ya wanawake, kuchapiwa wake zetu the list is endless.
 
Kuna lizee limoja la kimaasai tupo nae kitaa juzi kati alimwinamisha mdada wa umri huou tupo nae kitaa kimoja pia, mdada akapata 60 yake a kaweka mfokoni, yule dada alikunja roho ili apatemo kodi ya nyumba . maana sio kwa lizee lile jamani 😢😢

. Hawa wazee wa siku hizi hawana dogo
Nani kasema wamaasai wanazeeka hilo zee bado lina nguvu...
 
Babu/ kijana wa mjini siku hizi akiwa ana miadi ya kupiga show, maandalizi yake ni;
chipsi mayai, mishikaki, soda, maji, alkasusu, vumbi la Congo, viagra, bia, pombe kali, bange. Hapo sasa kidume eti anajisifu anaingia uwanjani kupambana na Messi.[emoji848]

Babu/ kijana wa bush akiwa ana miadi ya kupiga show huyo yeye hata hana haja ya maandalizi kwasababu maisha yake ya kila siku tu ni maandalizi tosha. Kazi anazozifanya za kusukumana na magogo porini kuandaa magunia ya mikaa, shamba, lishe yake ni dona na kisamvu cha chukuchuku. Babu au kijana wa bush akikugegedea demu/ mkeo umekwisha maana hao jamaa hawanaga utani kabisa kwenye hiyo wizara ya mambo ya ndani.
 
Bado mzee ndosi .. ana miaka 70 + anakula vitoto vya miaka 25 . Anakaa kibaha. Lodge anaenda kutafuta tabata. Juzi kamtumia demu wangu 70,000 alafu anajifanya kakosea namba. Naamini siku zake na yey zinahesabika
😅😅😅😅
 
Watamfanyaje kwani? Babu si kajifia?
Familia ya babu je itamwacha salama? hapa kuna usumbufu usio wa lazima coz kesi kama itakuwa polisi bado wataanza zile usitoke nje ya makazi mpaka ruhusa kipindi chote cha shauri hili yaani kifupi kutakuwa na usumbufu wa hapa na pale otherwise kama familia itatupilia mbali ishu iliyopo Polisi kwa ajili ya kuendelea kulinda privacy ya Mzee aliyetangulia ndio pona ya binti.
 
Immorality doesnt see gender. Tunagegedana na pia sie wanaume tunadeal na matokeo ya matendo yetu kama hivyo jamaa kudedi juu ya papuchi.

Mingine ndio kama vile kuwa na mtazamo hasi juu ya wanawake, kuchapiwa wake zetu the list is endless.

Nionyeshe Habari ya mwanamke wa umri wa miaka 80 aliefia lodge kwenye kifua cha kijana wa miaka 35?! Almost impossible right?

Sometimes we refuse to see how bad something is until it completely destroys us! You could never play a root and a branch at the same time!
 
Familia ya babu je itamwacha salama? hapa kuna usumbufu usio wa lazima coz kesi kama itakuwa polisi bado wataanza zile usitoke nje ya makazi mpaka ruhusa kipindi chote cha shauri hili yaani kifupi kutakuwa na usumbufu wa hapa na pale otherwise kama familia itatupilia mbali ishu iliyopo Polisi kwa ajili ya kuendelea kulinda privacy ya Mzee aliyetangulia ndio pona ya binti.
Hiyo ni kesi ya jinai vingine proved otherwise
 
Nionyeshe Habari ya mwanamke wa umri wa miaka 80 aliefia lodge kwenye kifua cha kijana wa miaka 35?! Almost impossible right?

Sometimes we refuse to see how bad something is until it completely destroys us! You could never play a root and a branch at the same time!

Kwanini inakuwa hivyo? Lakini wanawake hawahitaji erection. Shida ukiwa na miaka 80, erection inaanzaje bila kuwa na boosters? Boosters ndio zinazoua sasa
 
Acheni kupotosha..Vumbi la Kongo haliwezi kuwa mbadala wa Viagra kwa wazee..Sildenafil zinapunguza pressure kwa kufanya mirija ya dushe kutanuka na kujaa damu vizuri..i.e inasaidia mwanaume adindishe vizuri na kwa muda mrefu kwa wenye tatizo la erectile dysfunction
Nashukuru kapatikana mtaalam. Na je, kichwa kuuma, kizunguzungu na mapigo ya moyo kuongezeka baada ya kutumia hiyo Viagra, yenyewe unaiongeleaje hiyo mkuu? Kwa msaada wa wazee tulionao humu.
 
Nionyeshe Habari ya mwanamke wa umri wa miaka 80 aliefia lodge kwenye kifua cha kijana wa miaka 35?! Almost impossible right?

Sometimes we refuse to see how bad something is until it completely destroys us! You could never play a root and a branch at the same time!
Those are biological impossibilities, but the reverse is possible. Note; at 45-50, ends sensible sex to moms but to pas up to 90 is possible!
 
Back
Top Bottom