TANZIA Mzee David Makerege (80) Afariki Dunia Akiwa Chumbani Kwenye Hoteli ya Mbezi Garden Jijini Dar es Salaam

Malipo siku hizi yanaenda kwa simu
Wabeba cash bado wana ushamba maana kwa simu unalipa pesa hata kwa kuhamisha kutoka ac ya bank
Kimbwe mbwe ni pale m_pesa ya marehemu imetuna tuni na hakuna anaefahamu password.
 
Nadhani uongeze sauti ...umechambua kiundani

Extrovert mla kiepe njoo uone mambo huku
 
Inasemwa wapi, Tanzania watu wanazikaga tuu bila hata taarifa kuwafikia hao maDR au police. Unakuta mtu kafa asubuhi kazikwa jioni hila hata kujua labda alikuwa kazimia tuu
Kweli kabisa Mkuu. Kila Mara ninaukbuka mkasa ulionitokea Magomeni Mapipa kama miaka 21 moja hivi kwenye nyumba za kupanga.
Tulikuwa tunapanga nyumba moja na mshikaji ambaye biashara take kuu ilikuwa in kutoka asubuhi kwenda ferry kununua samaki, anawakaanga na na Siku nzima anawauza pembeni kidogo ya nyumba tuliyokuwa tukipanga.

Kuna jioni moja nikirejea kutoka kwenye ajira yangu nikamkuta akindelea na biashara yake na katika kujuliana akaniambia kichwa kinamsumbua.

Cha ajabu asubuhi tukakutana naye nje na katika kumuuliza anaendeleaje, akanijibu kichwa kilikuwa kimeacha kuuma na alikuwa anajiandaa kwenda ferry.

Tukaagana na kutakianda Nazi njema na Siku njema.
Nilikuwa na utamaduni was kutoka magomeni na kutembea had I Extelcoms nilikokuwa nikifanya kazi, nikitumia wastani was dakika 45 tu.

Kuingia tu wakati ninasaini kitabu cha mahudhuria nikaambia kuna simu yangu kutoka home na aliyeniambia akaniuliza pia kuna mini mbona anasikia kama watu wanalia!
Nakiri kuwa niliichukua simu ile huku nikitetemeka mikono.
Nikakutana na Mama watoto na kunijulisha kuwa mpangaji mwenzetu X ameanguka kibarazani na amefariki!! Yule yule tuliyesalimiana naye kwa furaha dakika zisizozidi 50 zilizopita!
In miongoni mwa Sikh nilizopata kushituka mno!

Niliishia tu kumuuliza wife kama amekufa ama amezirai tu.
Wife akanijulisha kuwa Mzee x jirani yetu aliitwa na akaminya shingoni na kifuani na moyo alikuwa haudundi.

SAA Tisa tu Sikh hiyo hiyo jamaa akawa amefukiwa pale makaburi ya mwinyimkuu.
Nikabaki kumuuliza sana kama labda mshikaji yule alikuwa amezirai tu halafu anashotuka na kukuta udongo unamuelemea na hawezi kufanya chochote mile, zaidi ya kujifia tu tena!![emoji848]
 
Mrembo Akitoka huko aliko atakuwa ametia akili.

Ninahisi kuwa Siki ya kwanza ya kurudia game, atafanya na ki Ben ten cha sekondari kama sio cha shule ya Msingi!
Ninahisi kuwa atakuwa ameathirika sana kisaikolojia na atakuwa anahisi yupo kwenye ndoto ya jinamizi ambao ataamka punde!
Anahitaji sana Ushauri Nasaha Ili asije akaehuka. Bado tunamhitaji aendelee kuipamba dunia yetu hii [emoji120]
 
Mrembo Akitoka huko aliko atakuwa ametia akili.

Ninahisi kuwa Siki ya kwanza ya kurudia game, atafanya na ki Ben ten cha sekondari kama sio cha shule ya Msingi!
Ninahisi kuwa atakuwa ameathirika sana kisaikolojia na atakuwa anahisi yupo kwenye ndoto ya jinamizi ambao ataamka punde!
Anahitaji sana Ushauri Nasaha Ili asije akaehuka. Bado tunamhitaji aendelee kuipamba dunia yetu hii [emoji120]
 
Kwa huyu binti, mzee ni noma
Apigiwe mizinga 21 anapozikwa
 
Hapo baba namba moja na namba nne ndio zenyewe
 
Ok, mom you know much of course! and thats why I objectively said "sensible" sex which of course could clear the age limit. Even a mom of hudred years can sex,but is that a " sensible" sex?
 
wanawake na MAJASIRI SANA.......na sisi ambao ni wazee watarajiwa...tuwe makini.....kufia nyumba ya wageni na kabinti ni fedheha sana....jenga kanyumba kako ka FARAGHA..........huko yataisha kimya kimya.......apumzike kwa amani...ila ameidhalilisha familia......ila ile KISU....hakika huchomoi......tutafute pesa WANAUMEE....
 
Huyo mrembo ni wazi kuwa malipo yalitangulia,
 
Bado mzee ndosi .. ana miaka 70 + anakula vitoto vya miaka 25 . Anakaa kibaha. Lodge anaenda kutafuta tabata. Juzi kamtumia demu wangu 70,000 alafu anajifanya kakosea namba. Naamini siku zake na yey zinahesabika
Mzee Ndosi wa Kibaha sie huyu Mwaka juzi alilazwa Muhimbili kwa kwa issue za figo?
 
ulitaka wasemeje kwa udaku wako
 
Bado mzee ndosi .. ana miaka 70 + anakula vitoto vya miaka 25 . Anakaa kibaha. Lodge anaenda kutafuta tabata. Juzi kamtumia demu wangu 70,000 alafu anajifanya kakosea namba. Naamini siku zake na yey zinahesabika
Hilo Zee haliishi maeneo ya Picha ya ndege kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…