Kiby
JF-Expert Member
- Nov 16, 2009
- 6,921
- 4,683
Malipo siku hizi yanaenda kwa simu...kwa Busara ya Kawaida tu, Marehemu na Wazi kuwa alikuwa anafahamu kabida kuwa Mrembo alikuwa anampendea Hela take tu.
No wazi kuwa 'Kikao' chao hiki kilikuwa kifanyike baada ya muda mrefu kidogo was 'Kikao' cha Mara ya mwisho kufanyika, kila Mara mrembo akimpa mzee kisingizio cha 'kukosa nafas'!
Haingii akilini kabisa kwamba Marehemu aendeke kwenye Kikao' hiki kilichomuondoa na Shilingi Alfu 40 tu!
Kwamba baada ya Kikao' mzee wetu aipe hiyo pisi sh Alfu 20 ama 30??? Acheni Utani.
Marehemu atakuwa amekwenda hapo na 'Mzigo Mzito'wa kumuachia Mrembo kama kishawishi cha kumfanya apende kuhudhuria vikao kila anapoitwa na asiko nafasi!
Kuna watu wa Kuulizwa vizuri hapo kuhusu Bulungutu LA Marehemu !!! [emoji848][emoji848]
Akili za kawaida tu.....!![emoji853][emoji853][emoji853]
Wabeba cash bado wana ushamba maana kwa simu unalipa pesa hata kwa kuhamisha kutoka ac ya bank
Kimbwe mbwe ni pale m_pesa ya marehemu imetuna tuni na hakuna anaefahamu password.