TANZIA Mzee David Makerege (80) Afariki Dunia Akiwa Chumbani Kwenye Hoteli ya Mbezi Garden Jijini Dar es Salaam

Mzee David Makerege (80) amepoteza uhai akiwa kwenye Hoteli ya Mbezi Garden Jijini Dar es salaam

Mwili wa Mwendazake huyo mkazi wa Goba mwenye umri wa miaka 80 ulikutwa bila uhai ndani ya chumba namba 22 cha Hoteli hiyo ya Mbezi Garden

Polisi wamethibitisha tukio hilo na kusema ndani ya chumba walimkuta mpenzi wake mwenye umri wa miaka 33 aendaye kwa jina la Neema Kibaya

Aidha imeelezwa kuwa mwili huo haukuwa na majeraha yoyote na umeshapelekwa Hospitali ya Mwananyamala kwa Uchunguzi zaidi

Taarifa zaidi kutolewa na Mamlaka husika.
 
Mzee David Makerege (80) amepoteza uhai akiwa kwenye Hoteli ya Mbezi Garden Jijini Dar es salaam

Mwili wa Mwendazake huyo mkazi wa Goba mwenye umri wa miaka 80 ulikutwa bila uhai ndani ya chumba namba 22 cha Hoteli hiyo ya Mbezi Garden

Polisi wamethibitisha tukio hilo na kusema ndani ya chumba walimkuta mpenzi wake mwenye umri wa miaka 33 aendaye kwa jina la Neema Kibaya

Aidha imeelezwa kuwa mwili huo haukuwa na majeraha yeyote na umeshapelekwa Hospital ya Mwananyamala kwa Uchunguzi zaidi

Taarifa zaidi kutolewa na Mamlaka husika
Yaleyale ya waziri mstaafu mwishoni mwa mwaka jana, mwendokasi.
 
Back
Top Bottom