TANZIA Mzee David Makerege (80) Afariki Dunia Akiwa Chumbani Kwenye Hoteli ya Mbezi Garden Jijini Dar es Salaam

Duuuuu huyu mzeee nae ni kiboko na nasikia kakutwa na sh 37000/= tu za kibongo sijui Neema nyingne alikuwa ashazikwapua.
 
Kwani postmortem imefanywa ili kujua chanzo cha kifo?
Ukisikia kufa kwa aibu ndio huku sasa[emoji1783]

Huyu babu atakuwa na vilembwe na vilembwekeze kabisa lkn ameenda kufia kwenye kifua cha binti[emoji23]
 
Polisi waongo sana, sio wa kuwaamini hata kidogo linapokuja swala la pesa

Kabisa hivi mbezi garden wanaijua vizuri kweli hawa? Sponsor aende na mtoto mzuri halafu awe na elfu 37 mfukoni? Polisi wamepiga pesa za mzee na wamemuweka ndani mtoto ili asiseme ukweli wa pesa alizokuwa nazo!! Mzee anaonekana ana mpunga wa kutosha na polisi wameupiga!
 
Kidogo niseme lowasa.
Kama nisingesoma uzi tayari kabisa[emoji85]
 
Kwa kweli alistahili kufa.
Mungu amuweke pahali pema .
Hata huko aendako bado roho imemuuma sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…