TANZIA Mzee David Makerege (80) Afariki Dunia Akiwa Chumbani Kwenye Hoteli ya Mbezi Garden Jijini Dar es Salaam

TANZIA Mzee David Makerege (80) Afariki Dunia Akiwa Chumbani Kwenye Hoteli ya Mbezi Garden Jijini Dar es Salaam

Kijana David Makerebe alikua Ni kabila la Mluli. Waluli Ni watu wa mkoa gani? Au Ni ndugu na wangoni?
 
Bado mzee ndosi .. ana miaka 70 + anakula vitoto vya miaka 25 . Anakaa kibaha. Lodge anaenda kutafuta tabata. Juzi kamtumia demu wangu 70,000 alafu anajifanya kakosea namba. Naamini siku zake na yey zinahesabika
Ndugu yangu huyo hakokosea hata kidogo kumtumia demu wako, ila mchongo uliharibika ulipo ona wewe.
Weka kwenye akiri yako demu wako hana muda mrefu ataliwa maana hiyo hela walikubaliana kabisa. Au unajuaje hajamla wakati wana mawasiliano? Mwambie demu wako hata akiliwa akuambie pia, akili ya kuambiwa changanya na yako!
 
Kuna lizee limoja la kimaasai tupo nae kitaa juzi kati alimwinamisha mdada wa umri huou tupo nae kitaa kimoja pia, mdada akapata 60 yake a kaweka mfokoni, yule dada alikunja roho ili apatemo kodi ya nyumba . maana sio kwa lizee lile jamani 😢😢

. Hawa wazee wa siku hizi hawana dogo
Sio siku hizi,,ni tangu enzi na enzi sisi wazee tunawashika kama kawa kama dawa..huoni hata Daudi licha ya uzee lakini alioa kabinti kabichi kabisa ka kumpa joto na kumnyonya naniliu
 
Kama ana nguvu za kiume kwanini alazie damu utamu 🤣🤣🤣🤣 na chanzo cha kifo kinaweza kabisa kuwa ni ugonjwa wa kubanwa mbavu AKA COVID-19.
Kama ana nguvu za kiume kwanini alazie damu utamu 🤣🤣🤣🤣 na chanzo cha kifo kinaweza kabisa kuwa ni ugonjwa wa kubanwa mbavu AKA COVID-19.
Yaweza kuwa hivyo ukitilia maanani umri au toxicology...
 
Maisha haya hadi uwe na pesa ndo unanihii,, sasa hivi mzee wa watu marehemu na hawa mabinti wanawatafutia wazee wa watu lawama kabisa sasa ka binti kama hako si ndo kinaweza kukupa mauti kwa mishindo yake tuuu,wakati mwingine ni kujitathimini tu vibinti hivi damu changu vinaongeza presha tu yani....
 
Yaani unaona kabisa umri umeenda unaenda kuchukua toto kama hiyo wakati una presha una kisukari unashushia na viagra unataka nini wewe kama sio kufia gesti.
Tumuombe Mungu atupe mwisho mwema wa maisha yetu.
Yaani we acha tu.
 
Mzee wa miaka 80 alienda kupiga kazi ya miaka 33 huku akiwa na 37,000 mfukoni baada ya chipsi na mishkaki 3.

Inasemwa kwamba daktari ndiye anaweza declare mtu kufariki, hivyo huu uongozi wa gesti kudai uligundua mteja wao amefariki na kuamua kutaarifu polisi ni move sahihi kweli?

As walitumia kipimo gani? Achana na muvi ule mtindo wa kusikiliza kifua... Mimi naona na mtu aliyetoa taarifa ya kifo angehojiwa pia.
Au siyo??!!!
 
Back
Top Bottom