Omary - Msamalia
JF-Expert Member
- Jan 19, 2020
- 2,079
- 4,521
Kama Kuna madanga kama Neema mnipe namba zao au aje inbox (Mimi nahonga kumzidi babu)... Mtoto mkali analiwa na mzee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii pisi naskia alikua anaimiliki mbwana samata ikamshinda tabia akarudi kwa zilipendwa wake isije kumuua.Nimeumia roho pisi kali kama iyo natamani ingekuwa naimiliki mimi
Tukubali tukatae wanaume tunakosa mishale mingi... Yaani hizi pisi kali zinadanga na hazichoki...Hii pisi naskia alikua anaimiliki mbwana samata ikamshinda tabia akarudi kwa zilipendwa wake isije kumuua.
Watu wa maraKijana David Makerebe alikua Ni kabila la Mluli. Waluli Ni watu wa mkoa gani? Au Ni ndugu na wangoni?
Polisi watakuwa wamekombaNdio tusaidiane sasa huyu mwali angempa bei gani na mimi nimejiuliza hilo swali
Ndugu yangu huyo hakokosea hata kidogo kumtumia demu wako, ila mchongo uliharibika ulipo ona wewe.Bado mzee ndosi .. ana miaka 70 + anakula vitoto vya miaka 25 . Anakaa kibaha. Lodge anaenda kutafuta tabata. Juzi kamtumia demu wangu 70,000 alafu anajifanya kakosea namba. Naamini siku zake na yey zinahesabika
Hapo kutakuw na makubaliano bhanaBado mzee ndosi .. ana miaka 70 + anakula vitoto vya miaka 25 . Anakaa kibaha. Lodge anaenda kutafuta tabata. Juzi kamtumia demu wangu 70,000 alafu anajifanya kakosea namba. Naamini siku zake na yey zinahesabika
KsbisaHuo umri wa 80 years old , mtu unapaswa kuwa umetulia na wajukuu
Sio siku hizi,,ni tangu enzi na enzi sisi wazee tunawashika kama kawa kama dawa..huoni hata Daudi licha ya uzee lakini alioa kabinti kabichi kabisa ka kumpa joto na kumnyonya naniliuKuna lizee limoja la kimaasai tupo nae kitaa juzi kati alimwinamisha mdada wa umri huou tupo nae kitaa kimoja pia, mdada akapata 60 yake a kaweka mfokoni, yule dada alikunja roho ili apatemo kodi ya nyumba . maana sio kwa lizee lile jamani 😢😢
. Hawa wazee wa siku hizi hawana dogo
Kama ana nguvu za kiume kwanini alazie damu utamu 🤣🤣🤣🤣 na chanzo cha kifo kinaweza kabisa kuwa ni ugonjwa wa kubanwa mbavu AKA COVID-19.
Yaweza kuwa hivyo ukitilia maanani umri au toxicology...Kama ana nguvu za kiume kwanini alazie damu utamu 🤣🤣🤣🤣 na chanzo cha kifo kinaweza kabisa kuwa ni ugonjwa wa kubanwa mbavu AKA COVID-19.
Yaani we acha tu.Yaani unaona kabisa umri umeenda unaenda kuchukua toto kama hiyo wakati una presha una kisukari unashushia na viagra unataka nini wewe kama sio kufia gesti.
Tumuombe Mungu atupe mwisho mwema wa maisha yetu.
Ahahahahaha nomawazee wanatafta draw [emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila wanapigwagwa kwenye penati
Kwanini?Babu ana haki ya kufa
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ni katika harakati za kusaka iphone 12 mkuu! Wanapitia magumu sana hawa dada zetu
Dogo dogo tamu jamaniKumbe vizee vinapenda dogo dogo duh
Au siyo??!!!Mzee wa miaka 80 alienda kupiga kazi ya miaka 33 huku akiwa na 37,000 mfukoni baada ya chipsi na mishkaki 3.
Inasemwa kwamba daktari ndiye anaweza declare mtu kufariki, hivyo huu uongozi wa gesti kudai uligundua mteja wao amefariki na kuamua kutaarifu polisi ni move sahihi kweli?
As walitumia kipimo gani? Achana na muvi ule mtindo wa kusikiliza kifua... Mimi naona na mtu aliyetoa taarifa ya kifo angehojiwa pia.