TANZIA Mzee David Makerege (80) Afariki Dunia Akiwa Chumbani Kwenye Hoteli ya Mbezi Garden Jijini Dar es Salaam

TANZIA Mzee David Makerege (80) Afariki Dunia Akiwa Chumbani Kwenye Hoteli ya Mbezi Garden Jijini Dar es Salaam

Huyu mwenye picha hizi sio Neema, mwenye picha hizi anaitwa Rita Jonathani Kimaro na nadhani anatakiwa kuombwa radhi. Huyu mwenye picha ni...
Duh ni mlokole wa kanisa gani? kumbe walokole ndiyo wame advance hivyo yaani mapaja yote hadharani.

Jaribu kufatilia mkuu yawezekana ni yeye maana maisha haya bila kupiga dili za ela haramu huwezi kuendelea hivi hivi tu unafikir mradi wa kuku umemtoa kumbe mwenzako anacheza na age za 80 Ndiyo zina muweka mjini.

Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
 
Naonaaa aibu....80-33=47 dah!shetani katika kazi yake.mtoto mbichiii kabisaa
 
Inasemwa wapi, Tanzania watu wanazikaga tuu bila hata taarifa kuwafikia hao maDR au police. Unakuta mtu kafa asubuhi kazikwa jioni hila hata kujua labda alikuwa kazimia tuu
Huko hospitali mara ngapi tunaskia watu wanaamkia mochwali?
 
Aisee mzee amekufa akila goma zuri sana. Namuombea asamehewe dhambi zake. Toto liko kamili idara na vitengo vyote
 
Yaani Mimi nikivaa viatu vya mke wa marehemu vinanibana!!


Analia kufiwa na mume? Analia mumewe kafa akiwa na mwanamke mwingine nyumba ya wageni? Analia kwa kifo Cha aibu kilichomkumba mumewe? Analia anawawazia wanae wanajisikiaje juu ya tukio?

Yaani analia na haelewi hasa Nini kinamliza.

Khaa wanaume mengine mtupunguzie jamani. Kuna umri ukifika jaribuni kushindana na hiyo mnayosema "necha"
Una akili timamu?
Umejuaje kama bado ana mke/mke wake yupo hai? Eti 'nikivaa viatu'
Utadhani unaijua familia yao nje ndani
 
Lipo la kujifunza kwa vijana haiwezekani mdada mzuri namna hiyo kimuonekano kuwa na mahusiano na mzee wa miaka 80 huku vijana mumejaa tele. Teh.
Tumia akili dada maimuna.
Picha na habari havina uhusiano.
 
Bado mzee ndosi .. ana miaka 70 + anakula vitoto vya miaka 25 . Anakaa kibaha. Lodge anaenda kutafuta tabata. Juzi kamtumia demu wangu 70,000 alafu anajifanya kakosea namba. Naamini siku zake na yey zinahesabika
Hapo alikuwa ameombwa 65,000 hiyo 5,000 ni ya kutolea. Sponsor (mzee Ndosi wa Kibaha) muachie Uswiss my wake. Jibu kutoka kwa Mzee Ndosi nimeshatuma (70,000) na ya kutolea
 
Mimi kwa PISI kali aliivyo Neema yaan Marehemu nampa KONGOLE yaliyotokea ni ajali kazin ..mjeshi kufia depo au vitani ni sehemu ya kazi .
Yaani mzee mie nimemkubali kinoma neema sio wakumuachabhivi hivi lazima utumie gharama yoyote umgegede.
Mwamba amekufa kishujaa kwa kweli
 
Mnawajaza upepo tu nothing real! Ukimaliza hapa kuwamba mnaenda kwenye thread ya kuoa mabikra napo mkawaponde kwamba ni maused!??

Binaadam mnachokitafuta mtakipata, keep it up!
Kweli ni maused kwani uongo?
Point ya kuoa bikra ni katika kujipa nafasi kubwa ya ndoa kudumu.

Kila taasisi na kanuni zake. Kwa kuhegedwa gegedwa au kugegeda gegeda hovyo tayari unakosa sifa kuu ya kuingia kwenye ndoa.

Mwanamke akiamua kuishi kwa kutumia uzuri wake na papuchi yake ili apate maisha mazuri wala sio shida...tatizo nipale ambapo mtu anafanya hayo and then hataki kukubaliana na matokea ya matendo yake.
 
Kazi wanayoiweza warembo sindio hio ya kutawanya mapaja kwa ajili ya kupata chochote kitu[emoji23]

True japo sio wote, Imani yangu ni kwamba bado wapo mabinti wengi sana tu wanaojitambua na kuitambua thamani yao!

Times have changed, we’re now living in a World where losing your phone is more menacing than losing your virginity & dignity! It’s a shame!

Hawa wachache waache waendelee kupambana na vitanda, mashuhuda tupo!
 
Back
Top Bottom