Ng'wanapagi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 9,116
- 8,652
[emoji23][emoji23][emoji23]Sumaye mwaga mboga
Tumechoka kunyanyaswa na dikteta Mbowe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]Sumaye mwaga mboga
Tumechoka kunyanyaswa na dikteta Mbowe
Nani aruhusu mgombea binafsi?Haahhhahah. Mimi siogopi matusi. Huwa natukanwa sana humu. Kasema atakuwa mshauri wa chama chochote including Chadema. Tanzania hakuna upinzani. Yaani waruhusu mgombea binafsi na sisi tugombee.
Hiyo ndo pona yetu. Yaani tupiganie hiyo kitu. Hiyo ndo demokrasia ya kweli.Nani aruhusu mgombea binafsi?
Yaani hawafai hata kupewa kijiji, majimbo yote waliyoshinda wameyatelekeza wapo tu kumsujudia Mbowe
Umeona eeeh. Hivi vyama vyote ni upuuzi tu. Waruhusu wagombea binafsi. Mtanzania awe na haki ya kugombea bila kupitia chama chochote. Tuwe huru. Kugombea na kuchagua. Hii ndo demokrasia ya kweli.Aisee - umemaliza kila kitu ni kweli kabisa - CHADEMA HAKUNA DEMOKRASIA WALA MAENDELEO. Nimeongeza sauti. Inasemekana Lowassa alitoa "Mlungula" kwa "MMILIKI" wa CHADEMA.
Wale waliotaka vyama vingi,wangekuwa na fikra kama zako. Wallah leo tusingekuwa na mfumo wa vyama vingi.Nani aruhusu mgombea binafsi?
[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1281579
Kama hao wanaokufa kwa utata unadhani kwa nini polisi hawafanyi uchunguzi kwa mbowe na CDM ili kuupata ukweli na kumfunga mbowe ambaye anaonekana kutonunulika na ccm?Polisi jinsi wanavyochukia upinzani wangeacha kufuatilia hao unaoita wenye vifo tata?Na je vipi Mzee mtikila,Akwilina,Ben saa nane,Mawazo,Lissu,Karume,sokoine,mwakyembe,Magufuli,na wengine wengi nao ni mbowe alitaka kukatisha uhai wao kwa kuwa wanaitisha nafasi yake?Kama ni hivyo huoni wajibu wa polisi wa kulinda raia na mali zao wameshindwa?polisi kama wameshindwa wewe unakuja unatokwa na utoko hapa wa kipuuzi?Bora amejiuzulu wenzie walifukuzwa Kama mbwa.. na wengine kufa kwa utata... Kumbuka mwenyekiti anasimamia mamilions ya ruzuku achilia mbali pesa za wabunge, misaada na michango ya wahisani. Pale Kuna Vita ya masilahi ndugu zangu... Ni Vita ya kifo
Maneno ya mkosaji.Hii cha mtoto ...kuna heavyweight boom inakuja! Kuna kagenge kanafikiri kanailinda Chadema kumbe ndio wanaitokomeza.
Very soon ACT ndio kinakuwa chama kikuu cha upinzani! All prominent politicians wanaenda kuungana na Zitto baada ya Mbowe kugomea mabadiliko. Mbowe anaenda kufunzwa siasa na Zitto [emoji41][emoji41]