Mzee Haji Mpili awa balozi wa kuzuia na Kupambana na Rushwa

Mzee Haji Mpili awa balozi wa kuzuia na Kupambana na Rushwa

SN.BARRY

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2012
Posts
4,038
Reaction score
8,929
Hapo ndio uwezo wao wa ubunifu ulipoishia​
1629200152061.png

Mkuu wa wiliaya ya Rufiji kushoto pamoja na Mkurugezi wa halmashuri ya wilaya ya Rufiji (Kulia) wakimtambulisha balozi wakuzuia na kupambana na Rushwa mzee Haji Mpili jana wilayani humo
 
Mshirikina wa kandanda awa balozi!! Kwa nini hii isiingie kwenye maajabu ya dunia!!
Yanga walimpeleka hadi Kigoma, haka kazee kaliwadanganya kuwa mechi kameshaicheza usiku na Yanga kashinda.
 
Back
Top Bottom