Mzee Ibughe ni nani Serikalini? Angali haya maeneo anayoonekana utagundua siyo mtu wa mchezomchezo

1. Ni Brigedia General
2. Mkuu wa Itifaki IKULU ( Chief of Protocal State House) I.e ana-play role mbili kama alivyo Dkt. Abbasi KM Habari na Msemaji Mkuu wa Serikali, Brig. Gen. Ibuge KM Foreign Affairs na Mkuu wa Itifaki.
 
Atakuwa ni mmoja kati ya watu alio waamini sana bila shaka. Na bahati nzuri huyo mheshimiwa mwenyewe aliyatumia vilivyo madaraka yake enzi za utawala wake! Full ubaguzi, full ukabila, full uonevu, full ufalme, full umungu mtu, full ubabe, full ukaidi, full ujeuri, full uminywaji wa uhuru na haki, full upendeleo, full undugulization, full ukiburi!

Sidhani kama yupo Mtanzania atakaye kataa tena mchakato wa katiba mpya baada tu ya haya mauza uza tuliyopitia ndani ya hii miaka mitano na miezi kadhaa ya utawala wake.
Mungu ametuonyesha njia,maana ametupa akili ya kutambua mema na mabaya
 
Mtu mkubwa sana huyo JWTZ...
Atakuwa ni mmoja ya wanajeshi ambao Magufuli alikuwa anapenda kuwapa vyeo ili kuonyesha umbwamba. Teuzi za namna hii ndiyo zimesababisha hata afe kwa covid kwani alikuwa amezungukwa na wapambe wanaopenda kumwambia ''mambo masikio yake yanataka kusikia'' na siyo ukweli au utaalam hata kama ni mchungu.
 
Atakuwa ni mmoja kati ya watu alio waamini sana bila shaka. Na bahati nzuri huyo mheshimiwa mwenyewe aliyatumia vilivyo madaraka yake enzi za utawala wake! Full ubaguzi, full ukabila, full uonevu, full ufalme, full umungu mtu, full ubabe, full ukaidi, full ujeuri, full uminywaji wa uhuru na haki, full upendeleo, full undugulization, full ukiburi!

Sidhani kama yupo Mtanzania atakaye kataa tena mchakato wa katiba mpya baada tu ya haya mauza uza tuliyopitia ndani ya hii miaka mitano na miezi kadhaa ya utawala wake.
Ya nini katiba mpya.Labda wewe unajua katiba maana yake,lakini nahisi hujui.

Why katiba.Katika is a conspiracy against the ruled!Ni mbinu chafu ya kuhalalisha mbinu ovu za kiutawala against the masses.It is a tool for oppression under the guise of the so called law.It is an empty document.So to me the empty document we have is enough,we do not have to spend more money on trash.

Naamini nilichoandika ni beyond your comprehension na the mainstream thought,lakini ndio reality.
 
1. Ni Meja Jenerali wa JWTZ.

2. Wakati Rais Magufuli anaapishwa mwaka jana alikuwa pembeni na full gear ya military uniform. (Je pale alikuwa Kama Nani?)

3.Ni Katibu Mkuu Wizara Ya Mambo Ya Nje.

4.Aliwahi kuwa mwenyekiti kikao cha SADC katika capacity kubwa tu via zoom

5.Jana msibani alikuwa ni Kati ya wale most close na family ya mh Rais Magufuli.

Je, huyu Ibughe ni nani?
Weka picha sasa unaletaje habari kama hii bila picha mkuu
 
Ya nini katiba mpya.Labda wewe unajua katiba maana yake,lakini nahisi hujui.

Why katiba.Katika is a conspiracy against the ruled!Ni mbinu chafu ya kuhalalisha mbinu ovu za kiutawala against the masses.It is a tool for oppression under the guise of the so called law.It is an empty document.So to me the empty document we have is enough,we do not have to spend more money on trash.

Naamini nilichoandika ni beyond your comprehension na the mainstream thought,lakini ndio reality.
Katiba yetu ya Wananchi ipo kitambo tu tangu miaka ya mwanzoni mwa 2010's! Hiyo unayoitaka iendelee kubaki ya mwaka 1977, hatuitaki! Maana inakinufaisha zaidi chama cha mapinduzi! Na hairuhusu uwanja sawa wa kufanya siasa, lakini pia imempa mtu mmoja mamlaka makubwa kupitiliza.

Hakuna gharama yoyote ile ya maana itakayo potea kwa kuirejesha hiyo Rasimu kwenye Bunge la Katiba litakalo undwa na Wataalamu wengi kuliko Wanasiasa. Ni maamuzi tu na utashi wa kisiasa ndivyo vitasaidia kuitoa hii nchi sehemu ilipo, na kwenda sehemu bora zaidi.
 
1. Ni Meja Jenerali wa JWTZ.

2. Wakati Rais Magufuli anaapishwa mwaka jana alikuwa pembeni na full gear ya military uniform. (Je pale alikuwa Kama Nani?)

3.Ni Katibu Mkuu Wizara Ya Mambo Ya Nje.

4.Aliwahi kuwa mwenyekiti kikao cha SADC katika capacity kubwa tu via zoom

5.Jana msibani alikuwa ni Kati ya wale most close na family ya mh Rais Magufuli.

Je, huyu Ibughe ni nani?
1. Kwanza kabisa sio Meja Jenerali, bali ni Kanali wa Jeshi;

2. Pili, pamoja na kuwa yeye ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje, ila pia ni Mkuu wa Itifaki Serikalini. Hizo shughuli zote kama vile kuapishwa kwa Rais, shughuli za maombolezo ya viongozi wa kitaifa, sherehe za uhuru na muungano, zote hizi zinaongozwa kwa protokali. Hivyo sio ajabu kumuona mkuu wa Protokali serikalini akiwa mstari wa mbele katika shughuli hizo.
 
Katiba yetu ya Wananchi ipo kitambo tu tangu miaka ya mwanzoni mwa 2010's! Hiyo unayoitaka iendelee kubaki ya mwaka 1977, hatuitaki! Maana inakinufaisha zaidi chama cha mapinduzi! Na hairuhusu uwanja sawa wa kufanya siasa, lakini pia imempa mtu mmoja mamlaka makubwa kupitiliza.

Hakuna gharama yoyote ile ya maana itakayo potea kwa kuirejesha hiyo Rasimu kwenye Bunge la Katiba litakalo undwa na Wataalamu wengi kuliko Wanasiasa. Ni maamuzi tu na utashi wa kisiasa ndivyo vitasaidia kuitoa hii nchi sehemu ilipo, na kwenda sehemu bora zaidi.
Ndio maana nimesema nilichoandika ni above the understanding of many people.We have been made to believe that the constitution for example is an important document through years of brainwashing and mind control techniques,kumbe ni a conspiracy against us.It is infact a tool of oppression and enslavement.There is so much nonsense around.

Soma document in the following link utapata picha ya kile ninacho maanisha.

Ya nini katiba mpya.Labda wewe unajua katiba maana yake,lakini nahisi hujui.

Why katiba.Katika is a conspiracy against the ruled!Ni mbinu chafu ya kuhalalisha mbinu ovu za kiutawala against the masses.It is a tool for oppression under the guise of the so called law.It is an empty document.So to me the empty document we have is enough,we do not have to spend more money on trash.

Naamini nilichoandika ni beyond your comprehension na the mainstream thought,lakini ndio reality.
If its just an empty document why so much objections against it?
 
An empty document in the sense that it does not really solve the needs of the citizenry. If it was,the World would be a very secure place to live in.However despite the fact that most World governments have constitutions,the World is in chaos and in turmoil today than ever before.Let me repeat,the constitution is nothing else,but just another tool for oppression,control and domination.
 
Back
Top Bottom