Mzee Jakaya Kikwete: Nilimuacha Magufuli Aendeleze Mradi wa Reli ya SGR

Mzee Jakaya Kikwete: Nilimuacha Magufuli Aendeleze Mradi wa Reli ya SGR

Nachokumbuka Kikwete alimuachia Magufuli bandari ya Bagamoyo, Magufuli alivyousoma akasema huu mkataba hata kichaa hawezi kuutekeleza, miaka 99 unamuachia vipi muwekezaji aokote mapato?!

Hilo la SGR ndio nalisikia kwake leo!.
 
Una uhakika? Unajua Sgr ilikuwa mwishoni kuanza ujenzi enzi za JK?
 
Nakumbuka baadhi ya miradi waliyozindua wenzake kwa sherehe, alikuwa anarudia kuzindua tena kwa sherehe nyingine ionekane ni ya kwake
Ilikuwa ni tabia ya Magufuli kutafuta sifa.

Hivi Samia angesema Kwa Sasa azunguke Kila sehemu kuzindua miradi ataweza? Maana miradi ni Mingi Mingi Kupitia kawaida Kila sekta.
 
Naona kama Kikwete anajitafutia jina kupitia JPM, leo ndipo nimeamini JPM hakuwa mtu wa kawaida.

Wameona kumpinga haiwezekaniki imebidi wakubali na kuunga juhudi... Tutashuhudia mengi.

Fisiemu imekuwa kituko, kama watoto wa marehemu wanapogombania mali...
 
Wewe unadhani sgr ya kikwete chini ya wachina tena isiyo ya umeme ndiyo hii ya jpm iliyo ya umeme tena iliyo mali yetu wenyewe ? Nenda Kenya ukaone wachina wanavyo miliki sgr yao ...
Lakini mipango ya Sgr ilishakuwepo Wala Magufuli hakuanzisha,yeye aliweka input ya kubadili modelity
 
Back
Top Bottom