Mzee Jakaya Kikwete: Nilimuacha Magufuli Aendeleze Mradi wa Reli ya SGR

Mzee Jakaya Kikwete: Nilimuacha Magufuli Aendeleze Mradi wa Reli ya SGR

Mipango hata wewe unaweza kuweka mipango ujenge nyumba inaelea juu ya anga, hakuna mwanadamu anashindwa kuweka mipango... Je? Utekelezaji unaweza?

Nyie muheshimuni JPM...
Katekeleza Kumzidi Samia? Nani ametekeleza zaidi? Nani hamheshimu JPM?
 
My Take
Uongozi ni kupokezana Vijiti.Kuanzia alipoishia mwenzako na kusahihisha makosa na kusonga mbele Ili 🇹🇿 iwe mshindi.👇👇

View: https://youtu.be/46vpJFkkBzQ?si=E1kgsqK1HHjlcn91

Yaan choice variable inaonekana, ww ni mtu wa majungu majungu ya kipumbavu. Mswahili wa ahead, usiye na kitu kichwani. Yaan unapenda vithread uchwara uchwara.

Marehemu, Magu yupo kaburini three years now.Lakin unatuletea vithread uchwara vya mzee wa msoga aliyekwisha choka akili mpaka hajitambui. Anayependa kujilinganisha na marehemu kila siku. Huyo, mzee hana uwezo wowote wa kufikiri, na anataka attention kwa wa Tanzania. Lakin watu wamemchoka.
 
Mimi au waliomhoji JK? Kwa nini usiwaambie Wasafi hayo uliyoandika?

Siku hizi mnawaua wajumbe?
 
Itoshe kusema tulimpoteza mtu muhimu sana hizi nyingine ni mbwembwe tu .RIP Magufuli
Kwamba bila yeye nchi ingedumaa au haya mambo yakuabudu watu ni mtihani sana nowdays kwmba kwenye watu milioni 80 yeye ndo aliweza wakati kuna mda alisema hadharani uraisi mgumu huku akicheza sinema kwenye tv.
 
Nachokumbuka Kikwete alimuachia Magufuli bandari ya Bagamoyo, Magufuli alivyousoma akasema huu mkataba hata kichaa hawezi kuutekeleza, miaka 99 unamuachia vipi muwekezaji aokote mapato?!

Hilo la SGR ndio nalisikia kwake leo!.
Si ulikua form one,kikwete angeendeleza harakati za sgr tungeikamilisha pamoja na Kenya,tulikua tukitambiana na kujitahidi kuwahi ili kutopoteza wateja wa bandari,dar na mombasa
 
Back
Top Bottom