Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 7,021
- 11,475
Mkuu unaonekana wewe ni mweupe kwenye uwekezaji. Hivi unajuwa kuwa project ya LNG ya Lindi value yake ni sawa na Bajeti ya mwaka mzima ya Tanzania?Sasa nani kakwambia Serikali yetu Haina pesa ya kuchangia kwenye mtaji?
Serikali ilikopa kuwekaza kwenye Dhahabu yetu Pana shida Gani hapo?
How much can Tanzania set aside to invest here? Na huku tunataka kulipa mishahara, kujenga barabara na kujenga mashule na hospitali
Hii siyo kufungua bar au saloon za nywele mnazo share