Mzee Jakaya Kikwete: Nilimuacha Magufuli Aendeleze Mradi wa Reli ya SGR

Mzee Jakaya Kikwete: Nilimuacha Magufuli Aendeleze Mradi wa Reli ya SGR

Chimba basi kama una uwezo na soko unalo, kwa nini usubiri mdau mshirikiane?

Kuna kitu kinaitwa opportunity cost of investment/ loan kama umewahi kusikia
Mmiliki 60%, mbia 40%
 
tamba fisadi kikwete, hakuna marefu yasiyo na ncha. Huenda ncha yako ikawa karibu kuliko tunavyotarajia. One love
 
My Take
Uongozi ni kupokezana Vijiti.Kuanzia alipoishia mwenzako na kusahihisha makosa na kusonga mbele Ili 🇹🇿 iwe mshindi.👇👇

View attachment 3032770
Ilani ya CCM ya 2015 haikuwa na SGR wala ATCL; hizo zilikuwa ahadi za CHADEMA. Kikwete alimwachiaje Magufyuli SGR bila kuweka kwenye ilani yao? In fact ilisemekana Magufuli aliamua kulivalia njuga swala hilo baada ya Rwanda, Uganda na Kenya kujitenga na kuwekeza kwenye SGR yao waliyoita Northern Corridor
 
Kumbe viongozi wanzake walikuwa wanamshangaa anavyojigamba kana kwamba yeye ndio yeye kauanzisha mradi
Kwasababu Mwamba Jiwe hayupo kumsingizia ni sawa tu. Inawezekana hata Uwanja wa Ndege wa Chato yeye JK ndio aliidhinisha pesa zake kabla hajatoka madarakani! Ahahahahaha!!!
 
Mzee huyo aliuza gesi yetu Kwa wageni!!
Kaichimbe kwa vidole.

Ukipenda watanunuwa hukupenda watachukuwa kwa nguvu, huna ujanja wa kuwazuia wanapotaka lao.

Kula uliwe - Kikwete.
 
Mmiliki 60%, mbia 40%
Unayo elimu yeyote ya uhasibu, uchumi au uwekezaji?

Nenda hata Kariakoo kaangalie umiliki wa yale maghorofa. Kati ya mwenye plot na muwekezaji nani ana apartment nyingi
 
Unayo elimu yeyote ya uhasibu, uchumi au uwekezaji?

Nenda hata Kariakoo kaangalie umiliki wa yale maghorofa. Kati ya mwenye plot na muwekezaji nani ana apartment nyingi
Naelewa sana,

Ukijenga ghorofa au apartment kwenye kiwanja Cha mtu mkawa na ubia,

Mmiliki atapewa kumiliki na kukusanya Kodi Kwa miaka kumi au ishirini Hadi arudishe pesa na faida.

Baada ya mkataba kwisha anaachia jengo Zima na kiwanja vinarudi kwa mmiliki.

Sasa DHAHABU ni tofauti,

Botswana pale mikataba ni Serikali inamiliki hisa 51+ mbia 48,

Na Serikali inachukua mgao wa almasi au DHAHABU Kila wanapozalisha ,inasema stock au kuuza itakavyo!!
 
Nachokumbuka Kikwete alimuachia Magufuli bandari ya Bagamoyo, Magufuli alivyousoma akasema huu mkataba hata kichaa hawezi kuutekeleza, miaka 99 unamuachia vipi muwekezaji aokote mapato?!

Hilo la SGR ndio nalisikia kwake leo!.
Mkwere mtu wa fix sana.
 
Naelewa sana,

Ukijenga ghorofa au apartment kwenye kiwanja Cha mtu mkawa na ubia,

Mmiliki atapewa kumiliki na kukusanya Kodi Kwa miaka kumi au ishirini Hadi arudishe pesa na faida.

Baada ya mkataba kwisha anaachia jengo Zima na kiwanja vinarudi kwa mmiliki.

Sasa DHAHABU ni tofauti,

Botswana pale mikataba ni Serikali inamiliki hisa 51+ mbia 48,

Na Serikali inachukua mgao wa almasi au DHAHABU Kila wanapozalisha ,inasema stock au kuuza itakavyo!!
Je una habari kuwa Botswana Serikali nayo ilichangia mtaji kwenye migodi? Au umeangalia share bila kuangalia equity structure
 
Je una habari kuwa Botswana Serikali nayo ilichangia mtaji kwenye migodi? Au umeangalia share bila kuangalia equity structure
Sasa nani kakwambia Serikali yetu Haina pesa ya kuchangia kwenye mtaji?

Serikali ilikopa kuwekaza kwenye Dhahabu yetu Pana shida Gani hapo?
 
Back
Top Bottom