inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
"(4) Deni la ujenzi wa reli ya SGR ni kitanzi kitakachotunyonga tusipokuwa makini | JamiiForums" Deni la ujenzi wa reli ya SGR ni kitanzi kitakachotunyonga tusipokuwa makiniAcha uongo. Riba ipi na Waturuki? wakati wao ni wajenzi tu wa SGR na walikuwa wanalipwa cash na TZ baada ya Exim Bank ya China kukataa kutoa mkopo baada ya wachina kunyimwa project hapo mwanzo. Kawadanganye wajinga wenzio huko kijijini kwako.