Mzee Jakaya Kikwete: Nilimuacha Magufuli Aendeleze Mradi wa Reli ya SGR

Mzee Jakaya Kikwete: Nilimuacha Magufuli Aendeleze Mradi wa Reli ya SGR

Kikwete alileta wabrazil kufanya upembuzi yakinifu wa kujenga Hilo bwawa,acheni kumtukuza Mungu wenu wa chato
Mbona Mwinyi alisema Kweli tu,

Kwamba Magu amefanya makubwa Kwa miaka 5 ambayo Yeye na wengine wameshindwa Kwa ten years?

Anyway kule pwani, unafiki imekuwa kama jadi!!
 
Mbona Mwinyi alisema Kweli tu,

Kwamba Magu amefanya makubwa Kwa miaka 5 ambayo Yeye na wengine wameshindwa Kwa ten years?

Anyway kule pwani, unafiki imekuwa kama jadi!!
Ile ilikuwa ni SARCASM kutoka kwa Ali Hassan Mwinyi. Inahitaji uwe na akili kuelewa nahau na tafsida zake
 
Jk anayasema Haya baada ya kuona vichwa vya SGR vimeandikwa Samia express.
CCM ni uharo wa bata
 
Mbona Mwinyi alisema Kweli tu,

Kwamba Magu amefanya makubwa Kwa miaka 5 ambayo Yeye na wengine wameshindwa Kwa ten years?

Anyway kule pwani, unafiki imekuwa kama jadi!!
Alipoingia magu,mwinyi alisema nchi inaendeshwa Kama gari bovu,watu wakamwambia una mtoto mwenye future nzuri ya siasa,aliyeshika mpini network siyo nzuri,ndiyo akaanzisha wimbi la kusifu,bwawa la umeme na sgr huyo magu hakufikisha hata 40% ujenzi wake, barabara hata 1500km hakujenga,kikwete alijenga 6000km za barabara,Hilo tu magu hamfikii kikwete,ukiacha kuajiri,kuipandisha mishahara na madaraja,mikopo elimu ya juu,udahili elimu ya juu
 
Nimekuuliza swali, ukimiliki hisa 40% na mwingine akamiliki 60%, nani mmiliki hapo?

Gesi ni Mali yetu?
Wewe na shoga yako mkipata mia,wewe yako 40 na shoga yako 60,wewe unakua huna kitu kwenye hiyo 100!?...
 
Unaweza ukawa uko sahihi lakini kwa kawaida kabisa ukiangalia unaweza ukawa na maono ila usiwe na uthubutu na ukawa huna maono ila ukawa na uthubutu sijui umenimanya hapo?
Mchakato wa sgr ulishaanza na wachina,huyo Mungu wenu akaachana na wachina akakubaliana na waturuki kwa riba kubwa,acheni ujinga,leo tumerudi kwa wachina
 
Kwa nini ajisemee? Kazi aliyoifanya anamashaka nayo?

Aache kazi zake zimtangaze! Anatuona watanzania ni watotoe siyo?
 
Back
Top Bottom