Mzee Jakaya Kikwete: Nilimuacha Magufuli Aendeleze Mradi wa Reli ya SGR

Mzee Jakaya Kikwete: Nilimuacha Magufuli Aendeleze Mradi wa Reli ya SGR

Mchakato wa sgr ulishaanza na wachina,huyo Mungu wenu akaachana na wachina akakubaliana na waturuki kwa riba kubwa,acheni ujinga,leo tumerudi kwa wachina
Nilikujibu kistaarabu naona unaleta mihemko na uswahili swahili Mungu wetu nani? Acha kufuru wewe uzima usikupe kiburi hivyo unataka uaminishe watu kulikua na Mungu zaidi ya tumjuae?
 
Si ulikua form one,kikwete angeendeleza harakati za sgr tungeikamilisha pamoja na Kenya,tulikua tukitambiana na kujitahidi kuwahi ili kutopoteza wateja wa bandari,dar na mombasa
Umekula maharagwe ya wapi tena mkuu! Unamwongelea Kikwete ambaye nchi nzima ilinuka rushwa na ufisadi!??
 
My Take
Uongozi ni kupokezana Vijiti.Kuanzia alipoishia mwenzako na kusahihisha makosa na kusonga mbele Ili 🇹🇿 iwe mshindi.👇👇

View: https://youtu.be/46vpJFkkBzQ?si=E1kgsqK1HHjlcn91

Mkataba aliokuwa ameucha JK ambao ulikuwa unaelekea kusainiwa na wachina ulikuwa wa kijinga sana. Magu alipoingia alikataa kuusaini then ukatengenezwa mwingine na waturuki. Wachina walitaka watutengenezee SGR kama ya Kenya kwa bei kubwa sana. Reli toka Dar to Mwanza ilikuwa zaidi ya Tril 24. Magu alipoingia Watz wenye uchungu na nchi yao wakamweleza Magu akaupiga chini mradi huo. Kwenye Tril 24 mafisadi walikuwa wameweka chao cha juu. Ni sawa na tulivyopigwa kwenye gas ya Mtwara, wazungu ni mali yao kwa zaidi ya miaka 50 ijayo na mbaya kwenye mitambo ya gas huko baharini hakuna Mtz hata mmoja hivyo hata baada ya kumaliza hiyo miaka 50 hakuna Mtz atakayeweza kuendesha mitambo hiyo wala ABC ya mradi wenyewe. Ujinga wa hali ya juu!!
 
Nakumbuka baadhi ya miradi waliyozindua wenzake kwa sherehe, alikuwa anarudia kuzindua tena kwa sherehe nyingine ionekane ni ya kwake
Kabisa, dhalimu magu alikuwa analazimisha kiki hadi alikuwa anakuwa kituko. Nakumbuka alikuwa anazindua viwanda vinavyofanya kazi ili kuhadaa wananchi kuwa vimejengwa kipindi cha Tanzania ya viwanda!
 
Mchakato wa sgr ulishaanza na wachina,huyo Mungu wenu akaachana na wachina akakubaliana na waturuki kwa riba kubwa,acheni ujinga,leo tumerudi kwa wachina
Acha uongo. Riba ipi na Waturuki? wakati wao ni wajenzi tu wa SGR na walikuwa wanalipwa cash na TZ baada ya Exim Bank ya China kukataa kutoa mkopo baada ya wachina kunyimwa project hapo mwanzo. Kawadanganye wajinga wenzio huko kijijini kwako.
 
Kabisa, dhalimu magu alikuwa analazimisha kiki hadi alikuwa anakuwa kituko. Nakumbuka alikuwa anazindua viwanda vinavyofanya kazi ili kuhadaa wananchi kuwa vimejengwa kipindi cha Tanzania ya viwanda!
Dhalimu mama yako aliyekuzaa wewe shog.
 
Kuanza ni pamoja na mchakato,hufiki tuu na kuanza?
Nyerere ndio alianza si hiyo nguruwe yako
Kabisa, dhalimu magu alikuwa analazimisha kiki hadi alikuwa anakuwa kituko. Nakumbuka alikuwa anazindua viwanda vinavyofanya kazi ili kuhadaa wananchi kuwa vimejengwa kipindi cha Tanzania ya viwanda!
mashoga na masagaji yalikomesha na Jembe jemedari king bulldozer Jpm
 
Kikwete alileta wabrazil kufanya upembuzi yakinifu wa kujenga Hilo bwawa,acheni kumtukuza Mungu wenu wa chato
Sasa hao Wabraziri wako walifanya huo upembuzi yakinifu? Mbona Bwawa limejengwa kwa kufuata upembuzi yakinifu ulifanywa enzi ya Nyerere!? Kawadanganye wajinga wenzio huko.
 
yule mzee kaishaanza kuchoka kazeeka angekaa atulie zake kwa sasa tz haitaki neno lake hata moja kusonga mbele..... tz imemchoka
 
Nimekuuliza swali, ukimiliki hisa 40% na mwingine akamiliki 60%, nani mmiliki hapo?

Gesi ni Mali yetu?
Hujatoa hata Tsh 100/= unapewa 40% ya hisa bado huridhiki? CRAZY

Mwekezaji kafanya exploration miaka 15, kaleta teknolojia ambayo huna, kaingiza mtaji wote yeye mwenyewe, na unataka akupe hisa zaidi ya 50% ndiyo useme gesi ya kwetu?

Ni UKICHAA tu wa Magufuli na ndiyo maana alikufa kwa UPOTOSHAJI wake
 
Back
Top Bottom