ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Una uhakika? Unajua Sgr ilikuwa mwishoni kuanza ujenzi enzi za JK?Nachokumbuka Kikwete alimuachia Magufuli bandari ya Bagamoyo, Magufuli alivyousoma akasema huu mkataba hata kichaa hawezi kuutekeleza, miaka 99 unamuachia vipi muwekezaji aokote mapato?!
Hilo la SGR ndio nalisikia kwake leo!.
Tabia za watu wasiojiamini na madikteta uchwaraKumbe viongozi wanzake walikuwa wanamshangaa anavyojigamba kana kwamba yeye ndio yeye kauanzisha mradi
Watu muhimu sana Nchi hii wameisha?Itoshe kusema tulimpoteza mtu muhimu sana hizi nyingine ni mbwembwe tu .RIP Magufuli
Acha chuki za kijinga , hao wengine ni waongeaji tu kwanini asinge anza ?Tabia za watu wasiojiamini na madikteta uchwara
Wewe na mwenzako Faiza foxy ni wa kupuuzwaWatu muhimu sana Nchi hii wameisha?
Wewe unadhani sgr ya kikwete chini ya wachina tena isiyo ya umeme ndiyo hii ya jpm iliyo ya umeme tena iliyo mali yetu wenyewe ? Nenda Kenya ukaone wachina wanavyo miliki sgr yao ...Kumbe viongozi wanzake walikuwa wanamshangaa anavyojigamba kana kwamba yeye ndio yeye kauanzisha mradi
Nakumbuka baadhi ya miradi waliyozindua wenzake kwa sherehe, alikuwa anarudia kuzindua tena kwa sherehe nyingine ionekane ni ya kwakeTabia za watu wasiojiamini na madikteta uchwara
Ilikuwa ni tabia ya Magufuli kutafuta sifa.Nakumbuka baadhi ya miradi waliyozindua wenzake kwa sherehe, alikuwa anarudia kuzindua tena kwa sherehe nyingine ionekane ni ya kwake
Jibu swali,watu muhimu Nchi wameisha? Yule mtu wako si alisema akifa yeye haoni wa kuendeleza miradi,vipi Bado na wewe huoni? Acha ujingaWewe na mwenzako Faiza foxy ni wa kupuuzwa
Huyu jamaa ni mzinguaji sana!Mzee huyo aliuza gesi yetu Kwa wageni!!
Ni kweli alikuwa si wa kawaida, alikuwa dikteta sana.Naona kama Kikwete anajitafutia jina kupitia JPM, leo ndipo nimeamini JPM hakuwa mtu wa kawaida.
Lakini mipango ya Sgr ilishakuwepo Wala Magufuli hakuanzisha,yeye aliweka input ya kubadili modelityWewe unadhani sgr ya kikwete chini ya wachina tena isiyo ya umeme ndiyo hii ya jpm iliyo ya umeme tena iliyo mali yetu wenyewe ? Nenda Kenya ukaone wachina wanavyo miliki sgr yao ...