Mpinzire
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 7,503
- 13,463
Juma Duni Haji amesema akipata nafasi yoyote ya kumuwezesha Freeman Mbowe kutoka mahabusu na kuungana na familia yake, ataitumia bila kujali kama atatukanwa ama lah.
Amesema serikali haijawahi kukiri kukosea, na wanaotaka aendelee kukaa mahabusu wako Ulaya wakila kuku na
viyoyozi.
Mzee wetu anataka kutuaminisha ni nani hasa aliyepo huko Ulaya anaependa Mbowe aendelee kushikiriwa mahabusu!