Mzee Juma Duni Haji: Wanaotaka Mbowe aendelee kusota Mahabusu wako Ulaya

Mzee Juma Duni Haji: Wanaotaka Mbowe aendelee kusota Mahabusu wako Ulaya

1643011451961.png
 
Tuwe wa kweli hivi Mbowe anapoendelea kusota jela tunafurahia ili tujifunze nini hasa, Demokrasia ya Tanzania sio ya uingereza hilo somo halitasaidia, ni bora atoke tuu.
Ndugu yangu,
Iko wazi kabisa kuwa Mbowe sio gaidi wala hakukusudia kula njama za kufanya ugaidi. Hahitaji kusamehewa ni haki yake kuwa HURU.
Huyo mtu WENU aliyekimbilia kupayuka BBC ndie anaetakiwa kuomba msamaha, na sio kutuletea SIASA za kujifanya eti ana nia ya kusamehe.
Mpaka sasa watu wenu kule mahakamani kila uchao, wanazidi kuthibitisha kwa ushahidi wao ulivyo duni kuwa, kesi hii ni ya kubumba.
Ufike wakati watanzania tuache ujinga wa kuruhusu kuchezewa. AMEN
 
Nyinyi mmefikisika kisasa kila mwenye jina la kiislsmu NI MDINI au GAIDI jipangeni tena mnawenge c MCHEZO
Chuki na Wivu vitawauwa
Hao jamaa khatari sana ukute huyo ni mkasikazini wanataka waishi wao tu Duniani wanakosa tu hiyo nafasi yakuwamaliza wasio wao
 
Juma Duni Haji amesema akipata nafasi yoyote ya kumuwezesha Freeman Mbowe kutoka mahabusu na kuungana na familia yake, ataitumia bila kujali kama atatukanwa ama lah.

Amesema serikali haijawahi kukiri kukosea, na wanaotaka aendelee kukaa mahabusu wako Ulaya wakila kuku na
viyoyozi.

Mzee wetu anataka kutuaminisha ni nani hasa aliyepo huko Ulaya anaependa Mbowe aendelee kushikiriwa mahabusu!

View attachment 2093619
Nyie mbona mpo hapa Nchini Mbona hamkuwazuia waliomkamata?
 
Tuwe wa kweli hivi Mbowe anapoendelea kusota jela tunafurahia ili tujifunze nini hasa, Demokrasia ya Tanzania sio ya uingereza hilo somo halitasaidia, ni bora atoke tuu.
Sasa ndugu Mbowe anatokaje? Kesi inaendelea, acha ukweli ujulikane baada ya hukumu. Hii mambo ya atoke asitoke haisaidii kwa sasa. Ni nani ana uwezo wa kumtoa Mbowe mahabusu kwa sasa? Watu msijifanye mna huruma sana na Mbowe wakati yeye mwenyewe hajasema kama anaomba msamaha kwa hiyo atolewe. Tuiache mahakama ifanye kazi yake ili tuje tujadili hapa baada ya hukumu kutolewa, iwe leo, kesho au 2026.. issue ya ugaidi sio ya mchezo, tunahitaji hukumu ambayo italeta pia mafunzo kwa hapo baadae kuhusu kesi kama hizi. Ni hayo tu mkuu.

NB: Mbowe anao uhuru wa kuandika memos na barua kwa watu kama ile aliyoiandika kwa Mwamakula. Kama angetaka watu wamwombee msamaha, angeandika memo kwa Duni, au Rais mwenyewe kwa ajili ya kukiri kosa na kuomba msamaha.
 
Back
Top Bottom