Mkuu narudia kazi maalim seif ameshaimaliza kitambo wazanzibari kujielewa.Kwa hiyo anakosea serikali lakini lawama anapewa Lema na Lissu.
Usisahau hayo yote yalitokea kwasababu Maalim Seif alikuwepo. Sasa hayupo hao waliopo wanao uwezo wa kusimamia harakati?. Kwasababu kwa Viongozi waliopo naona Kama movement itapoa Kama sio kufa.
Wazanzibari dakika 3 tu zinatosha wananchi wa Zanzibar kuamua sasa tuache hichi tufanye hichi
Emu ulizia ilichukua dakika ngap wazanzibar kuicha CUF ya Lipumba na kuingia ACT?