Daisy Llilies
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 1,017
- 2,163
Hata Nyerere sidhani kama alimfahamu JiweLeo anajidai anaijua nchiiiiiii
Hata Nyerere sidhani kama alimfahamu JiweLeo anajidai anaijua nchiiiiiii
Alimfaham kupitia salary slip za waalimuHata Nyerere sidhani kama alimfahamu Jiwe
Nyerere hakuwahi kumjua jiwe maana ilikuwa ni sawa na mbingu na ardhiHata Nyerere sidhani kama alimfahamu Jiwe
wewe umezoea kutumwa na unafikiri wengine hawawezi kufanya kitu bila lutumwa!! Shame on you!!😂😂😁😁Katumwa huyu
wewe umezoea kutumwa na unafikiri wengine hawawezi kufanya kitu bila lutumwa!! Shame on you!!😂😂😁😁Katumwa huyu
Missile of The Nation pamoja sana💪💪💪nafuatilia very closely madini haya muhimu
MTU ALIYEOKOTA CHEO KAMA EMBE DODO ANAHARIBU UMOJA WAKITAIFA.Ha ha ha ha, alikuwa anashika chaki. Lakini Sasa ndiye Rais huku Camilius akibaki na kihoro ambacho hakitakuja kuisha hadi umauti unamkuta!
Nani mjanja Sasa, aliyeokota, au huyo boya aliyetumia nguvu alizonazo zote kuutafuta Urais halafu hata hajui, hilo dodo liliokotwaje!! Unachekesha!MTU ALIYEOKOTA CHEO KAMA EMBE DODO ANAHARIBU UMOJA WAKITAIFA.
UAMSIFIA?
unayechekesha ni wewe ambaye huelewi mambo! na hayo ni MATOKEO ya upuuzi uliokuwa nao!😂😂Nani mjanja Sasa, aliyeokota, au huyo boya aliyetumia nguvu alizonazo zote kuutafuta Urais halafu hata hajui, hilo dodo liliokotwaje!! Unachekesha!
Taharuki ten!Mkuu, minaona kama nawewe ndio kwanza unaongeza tu taharuki....