Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,590
- 8,726
Utake usitake ukweli ndio huo kuwa jasusi hakukuzii kudukuliwa bwana mdogo. Na ndio maana ukitaka kukubali jamaa no machine alikiri sauti ni take na hakuna mlichoweza mfanya. Ile ni namba nyingine sio kama jiwe mzee wa kujimwambafy
Siku hizi Mzee wa mtama “moshi mweupe” naye ana vijana wa mtandao? Si amuache mwenzake Amalize?