Mzee Kikwete alimtuma Membe kwa Mwl Nyerere

Nadhani vilevile Mwalimu alimtabiria Membe walipokutana kuwa hata siku moja hatanusa hata harufu ya urais na asipotizama tamaa za urais zitamponza .Vilevile alimtabiria Membe kuwa kuna wakati mikono yake itakuwa mirefu.
 

Sasa tukiungana kesho muda kama huu kipindi si kitakuwa kimekwisha?
 
Ina maana wakati huo JIWE alikuwa badobado sana. Hii makala inaletwa na mabeberu, nia ni kumkoga JIWE kwamba hakuwa na ukaribu na Julius! πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜…
huo ndo ukweli ulio wazi kabisa!! jiwe came from nowhere ! has never elected even leader pf ten houses!!πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Jasusi atakuwa membe? Anadukuliwa na watoto wadogo tu. Hajielewi ni kama kilaza mwingine yeyote. Na ashaukalia ndo basi tena
JIWE ANADUKULIWA E.AIL ZAKE KILA SIKU! WATU HAWANA TIME YA KUDIS CLOSE! TU!.

ONCE SPY ALWAYS SPY! MEMBE KUMWAGA POMBE 2020.

POMBE SI CHAI NI HATARI KWA AFYA.

MEMBE KANYAGA TWENDE 2020 TUPO NYUMA YAKO!!
 
Nadhani vilevile Mwalimu alimtabiria Membe walipokutana kuwa hata siku moja hatanusa hata harufu ya urais na asipotizama tamaa za urais zitamponza .Vilevile alimtabiria Membe kuwa kuna wakati mikono yake itakuwa mirefu.
KAVAE PAMPASI DADA! MKISIKIA JINA MEMBE TU NGUO ZINAANZA KUCHAFUKA! SUBIRINI 2020 MKUTANO MKUU WATU WANAOMCHEKEA JIWE NA KUMSIFU WATAKAVYOMWAGA POMBE NA kupindua meza kibabe.

πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺTIME WILL TELL
 
Na kabla ya yeye (Membe) kuwania uraisi, alikwenda Butiama kwenye kaburi la Mwl. Nyerere na kumnong'onezea (kuwa Nyerere) kwamba - ulisema vijana tuwanie urais. Nasikia alijibiwa kwamba yeye (Membe) siyo kijana na pia hana maadili mazuri (ana kaufisadi fisadi)!
Ila Hapo Membe akaendelea na nia yake, yaliyotokea unayajua! Na kwa sababu hiyo hawezi akawa Rais maishani mwake.
 
K Kwa hiyo unapigie debe turudi kwenye ufisadi papa? Too late.
 
Hivi kwanini watu wanaotaka urais huwa wanajitahidi kujiunganishaunganisha na Nyerere kwa vimatukio flanifalani?
Kwamba kama ulimjua Nyerere au ulikua karibu Sana nae basi wewe tukupe urais wa Nchi???
Ingekua hivyo watoto wa Nyerere na mkewe wangefaa kuwa Marais maana wanadamu yake na waliishi nae muda mwingi na wakiongea nae zaidi lakini Hili haliwi kwasababu uongozi hauambukizwi.
Hata ungepiga story na Nyerere Kila siku hauwezi kuwa na Haiba na hulka Zake.
Wengi wa wezi tuwaonao Leo wamekuwepo kipindi cha mwalimu huenda hakuna aliyewahi kumuelewa Nyerere kwakweli.
Kuna watu walijimilikisha na walifikiri uongozi ni wa watu wa kikundi flani sasa kwa kuwa huo utamaduni umevunjwa na yeyote anahaki ya kuchagua na kuchaguliwa wanabaki wanalialia.
Watoa rushwa kwa wapiga kura wanajinasibisha na mwalimu, kwakweli watapata Laana kubwa Sana.
Huhitaji kuwa ulikua rafiki wa Nyerere au mwanaukoo wake ili uwe kiongozi Mzuri wa nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…