Mzee Kikwete alimtuma Membe kwa Mwl Nyerere

Kwa hiyo Mwl Nyerere asingesafiri JK asingepata jibu? Huu ni uzushi mwingine
 
Ni vema ukaweka miaka ambayo matukio hayo yalifanyika, hii itatusaidia kutambua mtiririko wa matukio na kuepusha kulishwa matango pori
wa aina hii. Faiza huwauliza, hivi shule huwa Mnaenda kusomea Ujinga?
 
Mkuu kesho ndio ishafika tena
 
atapindua ya chadema.....
Yuko kazini...

usisahau moja ya kiapo chake ni kutoisaliti serikali.... haina ubobezi hilo.

Pia huwa hawastaafu kazi ila wanastaafu ajira.

Membe yuko kazini kwa faida ya CCM...
Kama alivyokuwa Lowassa...
Na Mtei[emoji12]
IF that is the case! why Jiwe is afraiding Membe???

2020 POMBE INAMWAGWA MAZIMA!! JIWE IS ONE TERM PRESDENTπŸ˜‚πŸ˜‚
 
kweli mkuu
 

Sawa. Swali langu moja. Primary Source ya habari yako ni vitabu. Maandishi au Membe au Kikwete. Nia wala sitauliza Leo. Ukijibu Hilo Ntakuwa nimeshaelewa.
 
Umewahi sana kuweka maoni haya, vipi ikiwa ulichosema kikawa moja ya maudhui ya uzi huu katika mabandiko/maandiko yake yajayo
 
Nalishangaa lile popoma lenye tabia za kike kila saa limekaa kumsema membe afu linajiita mwanaharakati. Uanaharakati huo aupeleke kwa mke wake
 
Very convenient kwa stori kama hizi maana Nyerere mwenyewe hayupo kubisha au kukubali.
 
Jasusi atakuwa membe? Anadukuliwa na watoto wadogo tu. Hajielewi ni kama kilaza mwingine yeyote. Na ashaukalia ndo basi tena
Utake usitake ukweli ndio huo kuwa jasusi hakukuzii kudukuliwa bwana mdogo. Na ndio maana ukitaka kukubali jamaa no machine alikiri sauti ni take na hakuna mlichoweza mfanya. Ile ni namba nyingine sio kama jiwe mzee wa kujimwambafy
 
Wakati huo Jiwe anashika chaki
Baba wa Taifa naye alishika chaki kama mwalimu kabla kuwa Rais. Hakukana ualimu bali alijipambanua nao. Hadi leo tunamtambua, kumuheshimu na kumuita Mwalimu Julius Nyerere. Kila mtu katika jamvi hili amepita kwenye mikononi ya mshika chaki.
 
jiwe hajawahi kumuogopa membe...
wanaigiza tu.... na Membe anawakamata nyumbu..
Nyumbu nawauliza Membe na Magu wote CCM... nn kitabadilika?
IF that is the case! why Jiwe is afraiding Membe???

2020 POMBE INAMWAGWA MAZIMA!! JIWE IS ONE TERM PRESDENT[emoji23][emoji23]
 
Membe ni kilaza kama kilaza mwingine.sana sana atakuwa rais wa familia yako tu...😁😁😁😁.hamna kitu pale....nyie vijana mliomaliza kidato cha nne ndo mnahangaika.membe ni bure kabisa....bora kutokuwa na rais lakini siyo memb e


Utake usitake ukweli ndio huo kuwa jasusi hakukuzii kudukuliwa bwana mdogo. Na ndio maana ukitaka kukubali jamaa no machine alikiri sauti ni take na hakuna mlichoweza mfanya. Ile ni namba nyingine sio kama jiwe mzee wa kujimwambafy
 
ALIMPIGIA SIMU......sawa
 
Umeongea point ya Msingi, kama Nyerere ndo kujuana naye au kupiga naye story ndo kwenda Ikulu , basi Makongoro Nyerere ambaye walishare chakula maji ya mtungi pamoja ndo angekuwa rais,
Urais ni zaid ya kujuana na Nyerere

Britannica
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…