Mzee Kikwete alimtuma Membe kwa Mwl Nyerere

MKUU Naona andiko la kibobezi linaelezea undani wa namna watu walivyotoka mbali!! walivyokuwa na affiliation na Baba wa Taifa.

Nawahi siti ya mbele kesho! weita leta serengeti funhu moja baridiπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺ

Wahi siti yako ya mbele lakini habari utapewa kidogo kidogo kama soda ya fanta kwenye arusi ya walokole ili usilewe
 
Katika kiswahili hamna kitu maadili mazuri. Maadili ni maadili
 
mambo mengine yanachekesha,eti Kikwete alimpigia simu Membe amuulize Mwalimu Nyerere alipoenda Canada wakati Mwalimu na Kikwete wote walikuwa hapa hapa Tanzania, kwani Kikwete alishindwa kumuliza Mwalimu hadi amtegemee Membe amuulize akiwa Canada,porojo nyingi oh kasoma chuo bora duniani bla bla,hiyo simu ndio mwanzo wa wanamtandao bla bla
Nani mjanja Sasa, aliyeokota, au huyo boya aliyetumia nguvu alizonazo zote kuutafuta Urais halafu hata hajui, hilo dodo liliokotwaje!! Unachekesha!
Halafu huyu boya na boya kweli anadhani kwa kuweka vibaraka vyake mitandaoni ndio atapata uraisi hakika wajinga ndio waliwao,huku mitandaoni ni porojo tu mambo yapo kwenye debe na huyu mende kwana arudishe hela yetu ya `Gadaffi ,uraisi atausikia tu kama alivyousikia mamvi,ukiona mtu anakimbilia ikulu ni kumuogopa kama ugonjwa wa ukoma.
 
endeleeni kujifariji tu! jiwe mwisho 2020 ! 2020- 2025 atakuwa nje ya duara.

Mkimng'ang'ania upinzani wachukua nchi mapema!

membe for PRESIDENTIAL 2020.πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘Š
 
WEWE NI KIBARAKA WA JIWE?? UNAFIKIRI KILA MTU ANAYETMA POST NI KIBARAKA???

MKUU WE ULIENDA SHULE KUSOMEA UJINGA????πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜
 
Hii kete najua ufunge bila kuingia king. Nishajua
Namna ulivyofukia mtego utanasa wajinga tu.
Endelea kutiririka ila ujue kufungwa super inakuhusu
 
WEWE NI KIBARAKA WA JIWE?? UNAFIKIRI KILA MTU ANAYETMA POST NI KIBARAKA???

MKUU WE ULIENDA SHULE KUSOMEA UJINGA????πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜
Unathibitisha ujinga mlionao vibaraka wa Membe,mwambieni uraisi nchi hii atausikia tu kwenye radio.
 
Unathibitisha ujinga mlionao vibaraka wa Membe,mwambieni uraisi nchi hii atausikia tu kwenye radio.
BOYA MWINGINE WEWE! KUANDIKA HUWEZI,eti Uraisi !πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚ ni Urais πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚ hivi we D.E.M.U ulienda shule kusomea ujinga???πŸ˜‚πŸ˜‚ BWAKU NGAJI ! kubwa ji.....πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Kama kweli Mwlm Nyerere alimjibu hivyo Membe.mbona ktk Uchaguzi wa kugombea Urais kwa tiket ya Ccm mwaka 1995, Mzee Jakaya alienguliwa na mwlm Nyerere?kisa aloambiwa wewe bado kijana subiri muhula ujao
Ndipo akapitishwa Mzee Mkapa akagombea urais kupitia Ccm huku akinadiwa na Mzee Nyerere.
Wakati huo kulikua kuna ushindani mkali saaaana na chama cha upinzani NCCR MAGEUZI mgombea akiwa Lyatonga Agustine Mrema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…