Pre GE2025 Mzee Kikwete asikitishwa na Migogoro ya Uchaguzi adai aliyeshinda hatangazwi aliyeshindwa anatangazwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
2015 🐼
 
Mnafiq mkubwa,amesahau alivyomfanyizia Lowasa kwenyeuchaguzi mkuu 2015?
 
Ningelimtukana matusi mazito. Shetani toka nisitende dhambi kubwa!

Swali kwake: Alipokuwa na absolute power alifnya nini kuhakikisha hilo Tanzania linaisha na halitarudiwa tena!
 
Rais mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete amesema miongoni mwa sababu za kuwepo kwa migogoro kwa nchi za Afrika ni kutozingatiwa kwa miongozo ya uwepo wa uchaguzi ulio huru na wa haki.
Amependekeza kifanyike nini kuondoa mapungufu hayo yanayojulikana na kila mtu!

Mchango wake kwa Tanzania katika mapungufu hayo kaueleza. Kwa nini alishindwa kukamilisha zoezi la Katiba Mpya?
 
Ningelimtukana matusi mazito. Shetani toka nisitende dhambi kubwa!

Swali kwake: Alipokuwa na absolute power alifnya nini kuhakikisha hilo Tanzania linaisha na halitarudiwa tena!
😆😆😆😆
 
Sawa, ahsante kwa taarifa.
Vipi, hajasema lolote kuhusu uchaguzi uliovunjika mara mbili kule Njombe?!!! Tena wa ndani?!!!!!
 
Naye anasubiri kuandika Kitabu cha Majuto kama Mkapa na Mwinyi?
 
Nafikiri ni njia mojawapo ya kuyalaani matendo yaliyofanyika wakati akiwa Raisi. Lakini tujiulize je hakuwa ba uwezo wa kuyakataa natendo yale hadi angojee sasa?
BWM na yeye aliyasema maneno kama haya kabla hayajatokea aliyoyataka akaaga dunia.
 
Kosa lake lipi hapo kwa kauli hiyo hadi mumtukane?
Jamani jifunzeni kutafakari kilichosemwa siyo chuki dhidi ya mtu.
Huu ni nwanzo mzuri hata kana huko nyuma hakuyazingatia hayo.
SAWA.
Nakubaliana na wewe katika hili. Sasa atuonyeshe njia sahihi. Tuanzie hapahapa kwetu.

Anayo nafasi nzuri kabisa ya kusahihisha yaliyopita kwa kusimama kidete wakati huu kuyarekebisha.
Huko ndani ya CCM sasa hivi hakuna mwenye ubavu wa kumzuia kufanya yaliyo sahihi; hata kama ni kwa madhumuni ya kuiokoa CCM yenyewe isisombwe na mafuriko.
 
Nafikiri ni njia mojawapo ya kuyalaani matendo yaliyofanyika wakati akiwa Raisi. Lakini tujiulize je hakuwa ba uwezo wa kuyakataa natendo yale hadi angojee sasa?
BWM na yeye aliyasema maneno kama haya kabla hayajatokea aliyoyataka akaaga dunia.
Sasa anaona haki intakiwa kufanyika kipindi ambacho yeye hayumo...

Bado ana infuence kwenye kuleta mabadiliko hajachelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…