Pre GE2025 Mzee Kikwete asikitishwa na Migogoro ya Uchaguzi adai aliyeshinda hatangazwi aliyeshindwa anatangazwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huyu mzee ni wa kuwa makini naye sana, haaminiki
 
Hakuna mtu mnafki kama kikwete
 
😁😁😁😁😁😁
 
Teh teh 😃 😃 hii michezo imefanyika Sana hapo Zanzibar miaka yote, hata mwaka. 2015 wakati anaachia madaraka lilitokea hilo....ila alibakia kimya tu, Sasa ndio busara zimerejea.
Siyo alibakia kimya mkuu. Unaambiwa dokta Shein alishakubali ameshindwa na alikuwa tayari kumpongeza Maalim. Utakumbuka kikwekwete alikuwa safarini nje ya nchi akahairisha. Ben akawahi Zenji masaa machache baadaye mkwere akaungana naye na kumkaripia sana Dr Sheni na Jecha. Tunamlaumu tu Jecha bure ila his hands were tied. Na angetangaza tu ushindi kwa maalim bas hakuna chochote Mkwere na Ben wangefanya.

Kule kuzuia kumtangaza maalim ndo iliwasaidia.

Hakuna mtu mstaarabu kama Sheni very humble politician.

Source: mzee flan alikuwa ubalozini Sweden
 
Samia naye amefanya yake kipindi hiki:

1) amekuwa kipingamizi kwenye katiba mpya.

2) Amekuwa kipingamizi katika kupata Tume Huru ya Uchaguzi.

3) Amekuwa kiini cha mkataba ule wa kishenzi wa DP World na ile mingine 30 ya hovyo iliyopora rasilimali za Taifa.

Ameshauriwa sana, kwa lugha zote, lakini ameziba masikio. LAKINI siku akitoka kwenye uongozi tutamsikia akisema kuwa anasikitika nchi haina Tume huru ya uchaguzi, kama alivyosema Mkapa; atasema chanzo cha migogoro ya nchi nyingi ni kukosekana kwa katiba mpya na watawala kujinufaisha na rasilimali za nchi!!
 
Machozi ya mamba! Kenge maji,wakati jini alilolitengeneza, jiwe ana unajisi uchaguzi, mbona alikaa kimya!
 
Kila ubaya utalipwa
 
Ndio maana mimi sitaki kusoma hivyo vitabu vyao
 
Nafikiri ni njia mojawapo ya kuyalaani matendo yaliyofanyika wakati akiwa Raisi. Lakini tujiulize je hakuwa ba uwezo wa kuyakataa natendo yale hadi angojee sasa?
BWM na yeye aliyasema maneno kama haya kabla hayajatokea aliyoyataka akaaga dunia.
Jakaya Mrisho Kikwete, kama raia (ukiondoa urais na vyeo vingine alivyopitia), ni mtu muungwana, msikivu na mwenye mawazo huru.
Hata hivyo, kiongozi bila watu ni kama mamba nje ya maji (nguvu ya mamba kwenye maji na ya kiongozi kwa watu wanaomshabikia na kumlinda).
Katika kundi la binadamu, kuna tofauti kifikra (wapo wenye fikra za kinyama kama mbwa na wengine wenye utu), na wote hao huwazunguka viongozi na hutumika, kila mmoja kwa umuhimu na nafasi yake.
Changamoto kubwa hutokea pale ambapo nafasi zinazohitaji watu wenye utu hupewa wenye unyama.
Mpangilio usipokuwa mzuri, kiongozi aweza kuzidiwa nguvu, hata kama ana nia nzuri. Vivyo hivyo kiongozi muovu aweza kupatikana.
 
Wapi kasema uongo? Yeye alikuwa Rais wa nchi kwa miaka 10 mfululizo kwahiyo anajua yote haya aidha alipokuwa mamlakani ama hata baada ya kutoka maana ana vyanzo vingi na vya kuaminika vya kumpa taarifa.
Huyu Mzee ni snitch ndio maana aliwahi kukimbia kule Monduli kwenye chuo Cha kijeshi sababu ya unafiki.
 
Daaaah 😆
Anaishauri Afrika wakati Tanzania hapa maswala ya Uchaguzi miaka yote hatuelewi yanakwendaje.
Ni sawa na kumsaidia jirani kujenga choo wakati kwako ni chimba-unye.
 
Jpm huko aliko asikie somo hilo kutoka kwa nguli wa siasa barani africa. Lile dubwana liliharibu kila kitu na tayari makundi ya ugaidi yalikuwa yanaitengeneza kwa kasi. I"m sure mungu asingemaliza ubishi basi nchi hii ingekuwa kosovo mpaka sasa. Bahari imetulia
 
Very stupid. Huyu si ndio alituma majeshi Zanzibar kupora ushindi wa Maalim Seif 2015? Mpaka wakafuta matokeo ya uchaguzi kwa jeshi kuzunguka jengo la kitangazia matokeo. Aache ujinga kabisa huyo mnafiki. Anatakiwa apopolewe mawe mpaka kufa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…