Mzee Kikwete avaa fulana isemayo "Kasi isambazayo tabasamu"

Mzee wa Msoga haishiwi vimbenga, ni mtalaam wakung'ata na kupuliza . Leo inasambaa picha akiwa kavaa tshirt kama ya Yanga akiwa anatazama punda. Tshit ukiangalia kwa makini unabaini ina maneno yasomekayo "Kasi isambazayo tabasamu".

Maneno haya yana maana kubwa sana yanapokaa mgongoni mwake tofauti na yangekaa mgongoni mwa mwananchi wa kawaida.

Je, ni kweli tunayo kasi inayosambaza tabasamu au tumepingwa upofu kuyakumbuka na kuyaona machungu?

View attachment 1797535
Mkwere huyo, vijembe ni jadi
 
Haya bhana siye wanyonge!
Poleni sana
JamiiForums639899576.jpg
 
Mzee wa Msoga haishiwi vimbenga, ni mtalaam wakung'ata na kupuliza . Leo inasambaa picha akiwa kavaa tshirt kama ya Yanga akiwa anatazama punda. Tshit ukiangalia kwa makini unabaini ina maneno yasomekayo "Kasi isambazayo tabasamu".

Maneno haya yana maana kubwa sana yanapokaa mgongoni mwake tofauti na yangekaa mgongoni mwa mwananchi wa kawaida.

Je, ni kweli tunayo kasi inayosambaza tabasamu au tumepingwa upofu kuyakumbuka na kuyaona machungu?

View attachment 1797535
Hao siyo punda mkuu. Ni farasi!
 
Wameshika usukani upya! Mishemishe kamakawa [emoji6]
 
Back
Top Bottom