Mzee Kikwete avaa fulana isemayo "Kasi isambazayo tabasamu"

Mzee Kikwete avaa fulana isemayo "Kasi isambazayo tabasamu"

Mzee wa Msoga haishiwi vimbenga, ni mtalaam wakung'ata na kupuliza . Leo inasambaa picha akiwa kavaa tshirt kama ya Yanga akiwa anatazama punda. Tshit ukiangalia kwa makini unabaini ina maneno yasomekayo "Kasi isambazayo tabasamu"...

Sasa ulitaka avae yenye picha jiwe anakula mahindi au?

Nyie sukumagang tulieni dawa itaingia vizuri...

Kila mara thread za ajabu ajabu tangu uanze kutetea jambazi na mshkaj wa Jiwe...Kakoko
 
Mzee wa Msoga haishiwi vimbenga, ni mtalaam wakung'ata na kupuliza . Leo inasambaa picha akiwa kavaa tshirt kama ya Yanga akiwa anatazama punda. Tshit ukiangalia kwa makini unabaini ina maneno yasomekayo "Kasi isambazayo tabasamu"...
Shemeji ina maana siku hizi punda hawajui tena? Hao anaoangalia mzee wa Msoga mbona siyo punda? Halafu hayo maneno ni ya watoa huduma ya mawasiliano hayana uhusiano na kasi ya Mh. Rais wa awamu ya 6 kama unavyotaka kutuaminisha!
 
Naona Kama watu wengi wameanza kuwa na tabasamu, baada ya kukunja ndita mda mrefu uliopita, " yajayo yanafurahisha" kazi iendelee kunoga!!
Yaani yule gaidi alichotufanya sina hamu kila nikikumbuka, bira lilikufa! Yaani mpaka sura yangu imekunjamana kama mzee mstaafu kumbe mimi bado yankee kabisa!
 
Back
Top Bottom