Mkuu Kuna nchi nyingine hapa duniani unaijua ambayo barabara zake zimejaa matuta Kama Tanzania?Yani ulitaka barabara zisiwe na matuta?
Na kwamba hicho ndio kipimo cha ukilaza?
Anajitapa kutufikisha uchumi wa kati kabla ya muda,yaani kabla ya 2025Kwani Magufuli alisema anajivuna kwa kufikia malengo hayo ya dola elf 3 kabla ya 2025?
Dr. Mpango alisema walipanga kufikia uchumi wa kati by 2025.Ungeangalia ile hotuba ya Dr. Mpango wakati anatoa hii habari ya kuingia uchumi wa kati ungejua sisi tunasema nini. Sasa kwa kuwa umekaa kusifia kuabudu kusujudu kutamka neno juhudi kama dozi ya TB basi na akili yako umeiweka mfukoni unatembea nayo!
Uchumi wa kati anatangaza Magufuli au bank ya dunia?Anajitapa kutufikisha uchumi wa kati kabla ya muda,yaani kabla ya 2025
Mimi nimesema ametangaza au anajitapa? Au kiswahili hujui mkuu?Uchumi wa kati anatangaza Magufuli au bank ya dunia?
Kama wao walipanga kufikia uchumi wa kati kwa vigezo vya WB lakini wametangazwa kabla ya 2025 kwanini asijisifu?
Kujitapa maana yake nini?Mimi nimesema ametangaza au anajitapa? Au kiswahili hujui mkuu?
Sio Magufuli aliyesema tuko uchumi wa kati ni World Bank, so kawaulize hao ndio mtajuaKikwete naona kaweka sawa kuhusu hizi propaganda kuwa Magufuli kafikia uchumi wa Kati kabla ya muda uliopangwa.
Kikwete kaweka sawa kuwa Uchumi wa Kati uliopangwa ni dola 3,000 na sio hii 1080. Na kampa Magufuli challenge kuwa 2025 inatakiwa awe amefikia kipato hicho kwa kila mtanzania.
Pia kaweka rekodi nyingine sawa kuwa Uchumi kukua kwa asilimia 7 Ni Mkapa ndio aliweka na baada ya Mkapa haijawahi kushuka hiyo Kasi.
Hii ni tofauti na propaganda za Sasa hivi kuwa Magufuli ndio kapandisha Kasi ya ukuaji Uchumi.
Kwani hatujafikia uchumi wa kati kwamba anaongopa?Anajitapa kutufikisha uchumi wa kati kabla ya muda,yaani kabla ya 2025
Unajua lengo la kuweka matuta kwa nchi kama tanzania hasa ni nini?Mkuu Kuna nchi nyingine hapa duniani unaijua ambayo barabara zake zimejaa matuta Kama Tanzania?
Hiyo haikuwa target yetu mkuu and our indicator for that is USD 3000 by 2025 unless Kama anatekeleza plan na target zilizopo kichwani mwakeKwani hatujafikia uchumi wa kati kwamba anaongopa?
Watu ni vilaza,madereva can not observe roads signs na wafuka kwa miguu nao ni hivyo hivyo.so matuta ndo yanatusaidia kusimamia sheria kwa sababu sisi hatuwezi sababu ya ukilaza wetuUnajua lengo la kuweka matuta kwa nchi kama tanzania hasa ni nini?
Nilishaandika humu mara nyingi TATIZO SIO JPM BALI NI YALE MAFISI YALIYOMZUNGUKA NA "MASHANGILIZI". Ndio hayo hupotosha na kumpa Mkuu uongo ili maslahi yao yatimie kisha hujifanya wao ndio wazalendo kuliko watanzania wengine. Inaposemwa kinyume na mapenzi yao ndipo utasikia "wasaliti... wanatumiwa na mabeberu!" Ilhali wao ndio wameifikisha nchi hapa tulipo.Acha ramli chonganishi rais Magufuli alielezea vizuri tangu siku anarudisha form ya urais kuwa kazi ya kuipeleka nchi uchumi wa kati ilianzishwa na wa tangulizi wake. Kwenye timu ya mpira sifa anapewa mfungaji bora anayepokea pasi ya mwisho.
HahahaMkuu hata corona ikimalizia pass zilizopigwa na Kisukari,ukimwi,kansa nk muwe mnaipa heshima hivyo hivyo na si kuhamisha magori
Wewe ndio huelewi na hii yote inasababishwa na hasira ulizonazo kwa Magufuli personalWe hujaelewa
Ni kweli tumefikia Uchumi wa Kati, according to WB
Na kulikuwa na lengo limewekwa kuwa tukifika 2025 tuwe tumefikia Pato la 3000 kwa kila Mtz
Lakini ilivyokuwa inasemwa Ni kuwa Magufuli amelifikia lengo la Uchumi wa Kati kabla ya 2025,
lakini lengo lenyewe halikuwa just Uchumi wa kati Bali Uchumi wa Kati wa dola 3000 kwa Wastani
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]eti bonge la snitchMATAGA watamuona JK ni bonge la Snitch.
Amesema kazi ya Magu sasa ni kututoa hapa kwny kipato cha $1,080 na kufikia $3,000 by 2025 ili kufikia uchumi wa Kati.
Yaani kama tangu 2005 mpk 2020 wamepambana marais hatari ndio tumefikia $1080 sijui miujiza ya aina gani itafanyika ndani ya miaka 5 kufikisha $1,920 zingine.
Sasa hapo kilaza nikiongozi wako au ni wewe usieelewa alama za barabarani unaenda tu kama nyumbu mpka kiongozi wako anaamua kukuwekea alama mbadala?Watu ni vilaza,madereva can not observe roads signs na wafuka kwa miguu nao ni hivyo hivyo.so matuta ndo yanatusaidia kusimamia sheria kwa sababu sisi hatuwezi sababu ya ukilaza wetu
Kilaza ni yule aliyefikia uamuzi wa kutumia matuta kusimamia sheriaSasa hapo kilaza nikiongozi wako au ni wewe usieelewa alama za barabarani unaenda tu kama nyumbu mpka kiongozi wako anaamua kukuwekea alama mbadala?