mr mkiki
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 5,588
- 11,668
Kikwete Kama mjumbe hivi
Yes!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kikwete Kama mjumbe hivi
Kuongea na kuimplement vitu viwili tofauti,unaweza ukawa mzuri wa kuplan na kudesign ila kuimplement ukashindwa,ndio maana kuna architecture (Mkapa) na Civil Engineer (Magufuli).Kama Kikwete Anatuambia Mkapa Ndiye Aliyeanzisha Sera Ya Kwenda Uchumi Wa Kati Na Ndiye Aliyetengeneza Uchumi Na Ukawa Unakua Kwa Asilimia 7 Na Kwanzia Hapo Haujawahi Kutetereka! Sasa Huyu Tunayemsifu Na Kumuabudu Kila Siku Kwamba Hajawai Kutokea Kama Yeye Kafanya Nini?
Kikwete Leo kamaliza kila kitu nisikie mtu anamsifia mtu mbele yangu atakula Kofi moja tu
Mr mkiki.
Hapo hajasikia.[emoji16][emoji16]Mkwere kaikosoaje? Kwamba kapingana na WB?
Mbona mkwere alikuwa wazi kabisa tena katumia kiswahili kwamba japo tumeshafika uchumi wa kati ila lazima tujitahidi kufikisha lengo la Mkapa la uchumi wa dola elf 3 kwa kila mtz, ili kuyaenzi maono yake.
Hapo kampiga kijembe wapi?
Bana wee,yaani ni kizaa zaa.Kwani aliyetangaza Tanzania imeingia ktk nchi zenye uchumi wa kati ni rais Magufuli au ni WB???
Nimesikiliza hotuba yake ina facts.Kikwete naona kaweka sawa kuhusu hizi propaganda kuwa Magufuli kafikia uchumi wa Kati kabla ya muda uliopangwa.
Kikwete kaweka sawa kuwa Uchumi wa Kati uliopangwa ni dola 3,000 na sio hii 1080. Na kampa Magufuli challenge kuwa 2025 inatakiwa awe amefikia kipato hicho kwa kila mtanzania.
View attachment 1520824
Pia kaweka rekodi nyingine sawa kuwa Uchumi kukua kwa asilimia 7 Ni Mkapa ndio aliweka na baada ya Mkapa haijawahi kushuka hiyo Kasi.
Hii ni tofauti na propaganda za Sasa hivi kuwa Magufuli ndio kapandisha Kasi ya ukuaji Uchumi.
Kikwete huwa anajiamini niniKikwete naona kaweka sawa kuhusu hizi propaganda kuwa Magufuli kafikia uchumi wa Kati kabla ya muda uliopangwa.
Kikwete kaweka sawa kuwa Uchumi wa Kati uliopangwa ni dola 3,000 na sio hii 1080. Na kampa Magufuli challenge kuwa 2025 inatakiwa awe amefikia kipato hicho kwa kila mtanzania.
View attachment 1520824
Pia kaweka rekodi nyingine sawa kuwa Uchumi kukua kwa asilimia 7 Ni Mkapa ndio aliweka na baada ya Mkapa haijawahi kushuka hiyo Kasi.
Hii ni tofauti na propaganda za Sasa hivi kuwa Magufuli ndio kapandisha Kasi ya ukuaji Uchumi.
Kikwete bonge la kiongozi
Si mlimwita kiongozi dhaifu ?Leo amekuwa bonge la Kiongozi ? hadi mnatia huruma yaani.![]()
Hata wewe umekumbwa na upepo wa kichadena tayari!Hapa nilichogundua ni WB wanafigure zao kwa nchi yeyote kuingia uchumi wa kati,sisi kama nchi ilipangwa kufikia 2025 kila RAIA awe na 3000$ ambapo wakati huohuo tutakuwa tumeingia uchumi wa kati.Tatizo LA Magu ni kutuhadaa kuwa tumeingia uchumi wa kati kabla ya 2025 wakati huo haukuwa mpango wa WB ni mpango wetu kama nchi, pia haongelei kuhusu kufikia dola 3000kila RAIA ambayo ni mpango wa nchi pia.
Acha hizo kelele zako nenda kamsikilize kikwete umueleweNilichogundua humu wengi ni wafanyakazi wa umma so walizoea kupiga pesa za bure now hazipo kwahyo lazima wawe na hasira, mana kila nikijiuliza inakuwaje mupinge mambo makubwa km haya yanayofanyika ss nkawa sipati jibu unakuta mtu anamsifia Kikwete licha ya ufisadi mkubwa enzi zake na kukosekana kwa huduma muhimu mfano kukatika katika kwa umeme n.k, but jibu nimelipata ni kwamba wengi wao ni wafanyakazi wa umma waliozoea pesa za bure lkn pia wengine wametumbuliwa kwa uzembe wao au kufoji na ndiyo maana wana hasira sn [emoji3][emoji3][emoji3]
Afadhali umefafanua na JK kaanza kuzeeka maana mkapa alikuta inflation ni 27 ikabaki two digits mpaka anatokaKuna watu mbwiga kweli.
Hiyo $3000 ni ya Mkapa (Local) ambayo hata angekuwa Rais wa milele Tz angekufa tu bila kuifikia hata kama mwaka 2060.
Wakenya wenyewe hata $2000 hawajaifikia pamoja na kuwa MIC a decade itakuwa nyie utopolo.
World bank wao ni hiyo $1026-$12,475 ambayo inatumika dunia nzima ku-classfy MIC.
Na hakuna mtu amesema ameingia MIC ya Mkapa,watu wako kwenye ranking ya WB.
Naamini ameionaTweet ya Magu akijifagilia kufikia malengo ya 2025 mwaka 2020, hebu jaribu kumuelewesha huyo kilaza unayebishana nae Kama ataelewa maana Mimi nimenu ignore tayari, too foolish
View attachment 1520831
Mkuu Ile 2025 national strategy development plan si ya mkapa bali ya nchi,mkapa aliitekeleza,JK kaitekeleza and Magu is doing the same though in very very slow paceAfadhali umefafanua na JK kaanza kuzeeka maana mkapa alikuta inflation ni 27 ikabaki two digits mpaka anatoka
Mkuu unataka kusema kuwa kwenye awamu hii ya msukuma kusema ukweli ni kosa? Au mie ndo sijakusomaNi utoto probability za yeye kuitwa kuongea alijua hilo.
Halafu kama hakuona kosa alichoongea kwanini ajihami mwishoni “ngoja nimalize nisije kuvuka mipaka” eti anauliza mh raisi si inatosha.
Hiyo kauli ya kutoandaa speech ni kujihami tu, lakini alijua alichokuwa anakifanya from the beginning to the end.
Issue ni what is the motive?