Mzee Kikwete aweka rekodi sawa, Uchumi wa Kati waliopanga na Mkapa ni wastani wa dola 3,000 kila Mtanzania

Huu ndio upumbavu wenu,maana mmeshasahau tayari kwamba jk ndiye mlisema ni fisadi kuliko.


Anyway,ukitaka tutumie akili zenu kisoda,tutamnyima heshima mama mzazi sababu aliyesababisha mimba ni baba mzazi.

Mipango ya uchumi na utekelezaji wake ni migumu sana,kuliko kuuangusha.hivyo bas tunamsifu rais sababu ameweza kupokea speed ile ambayo hata hivyo nyinyi wapumbavu mnaiita ni uongo tu.na kisha kuongeza namba pale IMF.

Alichofanya na tunamsifu,anasimamia vyema waliyoyapanga watangulizi wake.maana mipango ni tofauti na utekelezaji.
 
Kuongea na kuimplement vitu viwili tofauti,unaweza ukawa mzuri wa kuplan na kudesign ila kuimplement ukashindwa,ndio maana kuna architecture (Mkapa) na Civil Engineer (Magufuli).

Kila mtu kwa nafasi yake ana stahili sifa.
 
Hapo hajasikia.[emoji16][emoji16]

Kama manguruwe yaani.
 
Nimesikiliza hotuba yake ina facts.

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Kikwete huwa anajiamini nini
 
Hapa nilichogundua ni WB wanafigure zao kwa nchi yeyote kuingia uchumi wa kati,sisi kama nchi ilipangwa kufikia 2025 kila RAIA awe na 3000$ ambapo wakati huohuo tutakuwa tumeingia uchumi wa kati.Tatizo LA Magu ni kutuhadaa kuwa tumeingia uchumi wa kati kabla ya 2025 wakati huo haukuwa mpango wa WB ni mpango wetu kama nchi, pia haongelei kuhusu kufikia dola 3000kila RAIA ambayo ni mpango wa nchi pia.
 
"Mzee Mwinyi aliikuta nchi iko kwenye mazingira magumu sana kiuchumi..." nimeishia hapo kunukuu!
 
Uchumi ni kama GPA university mwanzoni tulikuwa kwenye pasi sasa tuko kwenye lower second baadae tutapanda hadi upper second (uchumi wa Kati) halisi.
Alichoongea Mzee Kikwete ndio ukweli wa tafsiri ya mageuzi ambayo yanatakiwa kupatikana ifikapo 2025.
Katika hayo Sina shaka na Mh. Rais JPM kutimiza matarijio hayo,kikubwa si kubeza bali ni kumuomba Mungu atupe uzima wa pamoja kuona hayo.
Nina hakika katika yeye kutimiza ndoto na maono hayo kwa manufaa ya kizazi kijacho.
 
Hata wewe umekumbwa na upepo wa kichadena tayari!

Magufuli akishangilia taarifa WB hakusema kwamba tayari wameshafikia dola elf 3 kabla ya 2025
 
Acha hizo kelele zako nenda kamsikilize kikwete umuelewe

Nyambaf

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Afadhali umefafanua na JK kaanza kuzeeka maana mkapa alikuta inflation ni 27 ikabaki two digits mpaka anatoka
 
Afadhali umefafanua na JK kaanza kuzeeka maana mkapa alikuta inflation ni 27 ikabaki two digits mpaka anatoka
Mkuu Ile 2025 national strategy development plan si ya mkapa bali ya nchi,mkapa aliitekeleza,JK kaitekeleza and Magu is doing the same though in very very slow pace
 
Mkuu unataka kusema kuwa kwenye awamu hii ya msukuma kusema ukweli ni kosa? Au mie ndo sijakusoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…