Mzee Kikwete aweka rekodi sawa, Uchumi wa Kati waliopanga na Mkapa ni wastani wa dola 3,000 kila Mtanzania

Mzee Kikwete aweka rekodi sawa, Uchumi wa Kati waliopanga na Mkapa ni wastani wa dola 3,000 kila Mtanzania

MATAGA watamuona JK ni bonge la Snitch.

Amesema kazi ya Magu sasa ni kututoa hapa kwny kipato cha $1,080 na kufikia $3,000 by 2025 ili kufikia uchumi wa Kati.

Yaani kama tangu 2005 mpk 2020 wamepambana marais hatari ndio tumefikia $1080 sijui miujiza ya aina gani itafanyika ndani ya miaka 5 kufikisha $1,920 zingine.
Watasema katumwa na Mabeberu
 
Kuna siku watakuja kuparurana jukwaani hawa.......

......nilimsikiliza na Mzee Msekwa juzi kuhusu kuongeza muda wa urais, nikasema hapa kuna jambo huko ccm linatokota....ingawa alizungumzia Dr Salmin, lakini tunaoweza kuunga dots tulimwelewa vema.
 
Msekwa alisema Pia Mkapa kwny utawala wake hakuwahi kuingilia mhimili wa Bunge nikajua hapo kuna mtu anapewa ujumbe indirect.
 
Wakati Kikwete akiwa madarakani nilimuona mtu wa kawaida lakini kwa maneno niliyoyasikia akisema msibani, nimeamini huyu jamaa ni kichwa na ni kiongozi kwa asili. Amefafanua mambo mazuri mno na inaonesha Mwinyi, Mkapa na Kikwete waliifanya ikulu taasisi na si ya mtu mmoja.

Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
 
Tulisema hapa uchumi wa kati FAKE sasa Kikwete kathibitisha. Sasa huyo MKURUPUKAJI hizi details huwa hazijui anakurupuka tu!?
Kwahiho WB ndio waongo?
 
Kuna watu mbwiga kweli.

Hiyo $3000 ni ya Mkapa (Local) ambayo hata angekuwa Rais wa milele Tz angekufa tu bila kuifikia hata kama mwaka 2060.

Wakenya wenyewe hata $2000 hawajaifikia pamoja na kuwa MIC a decade itakuwa nyie utopolo.

World bank wao ni hiyo $1026-$12,475 ambayo inatumika dunia nzima ku-classfy MIC.

Na hakuna mtu amesema ameingia MIC ya Mkapa,watu wako kwenye ranking ya WB.
 
Msekwa alisema Pia Mkapa kwny utawala wake hakuwahi kuingilia mhimili wa Bunge nikajua hapo kuna mtu anapewa ujumbe indirect.
Sasa hiyo unafikiri ina madhara yeyote kwa ccm?
 
Hahahha.. CCM ni kama maji! Usipoyanywa utaoga,

Sasa unajikuta hutaki kuisifia CCM lakini utaisifia indirect kupitia JK
 
Hapo tunahitaji marais wengine wawili kwa maana ya 20 yrs, hao kama wanatokea ccm

Back
Top Bottom