Kwani magufuri kajitangaza mwenyewe au ni shirika la kimataifa?
Tumieni akili basi na mpunguze upumbavu mlio nao.
Kama mkapa na kikweye walipanga iwe 3000 sasa kwa nini hawakufikia kiwango hicho?
Hayo mambo ni sawa na wewe kwenye maisha yako useme kuwa siku ukinunua gari basi iwe BMW ya ulaya halafu inafika muda unazeeka huna hata baisjeri kisha kijana wako anakununulia toyota ya mjapani, kisha unanza kusema mimi nilipanga kununua BMW, sasa ulikuwa wapi mbona umepigwa na jua mpaka unazeeka?
Kama wao walitaka iwe 3000 hadi 2025 kwa hiyo muda bado upo wasubili.
Pia mkumbuke magufuli hajakitangaza katangazwa sasa kama mnakata rufaa nendeni huko kwenye shirika lililo mtangaza mkate rufaa kwamba sisi kama nchi tulitaka mpaka ifike 3000usd ndo tungie uchumi wa kati
Hizo chuki zenu zitazidi kuwapa msongo wa mawazo saana, na bado mtanyooka.
Nabkama nyie ni wasoni wa kiwango cha juu basi kama nchi bado tuna shida sana na usomi wenu, vinginevyo muwe wachawi.