Mzee Kikwete aweka rekodi sawa, Uchumi wa Kati waliopanga na Mkapa ni wastani wa dola 3,000 kila Mtanzania

Hiyo haikuwa target yetu mkuu and our indicator for that is USD 3000 by 2025 unless Kama anatekeleza plan na target zilizopo kichwani mwake
2025 tumeshafika?

Wapi Magufuli kasema tumeshafika lengo waliloweka la dola elf 3 kabla ya 2025?
 
Wewe ndio huelewi na hii yote inasababishwa na hasira ulizonazo kwa Magufuli personal

Hakuna mahala popote Magufuli aliwahi kusema wameshafikia malengo yao ya dola elf 3 kabla ya 2025

Alichosema yeye ni furaha aliyonayo WB kuwatangaza uchumi wa kati kabla ya 2025 waliyoikadiria wao.

Hiyo ya lengo la dola elfu 3 bado liko palepale na Jk alimwambia Magufuli ajitahidi hadi 2025 aifikie ili kumuemzi Mkapa.
Sasa hapo usichoelewa ni nini?
Mkuu kalele utakuwa umechoka sana,sitaki kukuwekea clip hapa
 
Kilaza ni yule aliyefikia uamuzi wa kutumia matuta kusimamia sheria
Matuta siyo sehemu ya sheria za barabarani kwa hapa tz?

Ulishawahi kusoma driving na kuzishika sheria na alama za barabarani?
Au wewe kichwani mwako imekujaa marekani na ulaya sasa unafikiri kila kitu cha mzungu lazima uki aplai hapa tz?
 
2025 tumeshafika?

Wapi Magufuli kasema tumeshafika lengo waliloweka la dola elf 3 kabla ya 2025?
Mkuu hiyo USD 3000.00 huwa haitaji,kwa sababu akiitaja itaondoa uspoon wake,Kuna siku pia nilimsikia akimlazimisha engineer mmoja aseme pesa zikizotegwa kwenye budget na si pesa zilizopelekwa kwenye ujenzi wa hicho kipande Cha barabara,alijui akitaja actual iliyopokelewa itakuwa aibu
 
Kwa muda wote aliokaa madarakani, JPM aliweza kupandisha from $980 to $1080; which means, kwa muda wote amepandisha kwa $100...the worst growth compared to previous presidents!!

That being said, acheni kujimwambafai wakati kimsingi, JPM kashusha ukuaji wake huku mkijaribu kuaminisha watu kwamba JPM ndie kafanya kazi kubwa!!!
Uwezi kumlinganisha Kikwete na Magufuli, Kikwete aliwekeza kwenye anasa, watu waliokuwa hawafanyi kazi, rushwa, nk, mpaka Magufuri anaingia madarakani kwenye azina pamekauka, Magufuri kukusanyika amewekeza kwenye miundo mbinu imara, kafufua mashirika yaliokuwa maututi, pamoja nahayo bado ameipaisha nchi mpaka kwenye uchumi wa kati. Kikwete alikuta azina kumejaa Yeye kaanza kula bata,. Kikwete Rais mbovu kutokea Tanzania
 
Matuta siyo sehemu ya sheria za barabarani kwa hapa tz?

Ulishawahi kusoma driving na kuzishika sheria na alama za barabarani?
Au wewe kichwani mwako imekujaa marekani na ulaya sasa unafikiri kila kitu cha mzungu lazima uki aplai hapa tz?
Mkuu hata hapo Malawi nchi ambayo ni masikini kuliko sisi,drive from Karonga to Sanje hutaona tuta mkuu.Sitaki kusema Kenya na Zambia
 
Watu ni vilaza,madereva can not observe roads signs na wafuka kwa miguu nao ni hivyo hivyo.so matuta ndo yanatusaidia kusimamia sheria kwa sababu sisi hatuwezi sababu ya ukilaza wetu
Umenena ukweli
 
Mkuu hiyo USD 3000.00 huwa haitaji,kwa sababu akiitaja itaondoa uspoon wake,Kuna siku pia nilimsikia akimlazimisha engineer mmoja aseme pesa zikizotegwa kwenye budget na si pesa zilizopelekwa kwenye ujenzi wa hicho kipande Cha barabara,alijui akitaja actual iliyopokelewa itakuwa aibu
Wewe shida yako ni chuki na hasira uliyo nayo kwa Magufuli!

Sasa nakushauri jinyonge tu maana hadi 2025 ndio rais wako huyo
 
Uwezi kumlinganisha Kikwete na Magufuli, Kikwete aliwekeza kwenye anasa, watu waliokuwa hawafanyi kazi, rushwa, nk, mpaka Magufuri anaingia madarakani kwenye azina pamekauka, Magufuri kukusanyika amewekeza kwenye miundo mbinu imara, kafufua mashirika yaliokuwa maututi, pamoja nahayo bado ameipaisha nchi mpaka kwenye uchumi wa kati. Kikwete alikuta azina kumejaa Yeye kaanza kula bata,. Kikwete Rais mbovu kutokea Tanzania
Ni kweli JK aliwekeza kwenye starehe ila hakuwahi kutekeleza budget yake kwa less than 50%l
Wewe shida yako ni chuki na hasira uliyo nayo kwa Magufuli!

Sasa nakushauri jinyonge tu maana hadi 2025 ndio rais wako huyo
Mkuu Sasa Mimi ntamchukia magu kwa sababu gani?
 
Mkuu hata hapo Malawi nchi ambayo ni masikini kuliko sisi,drive from Karonga to Sanje hutaona tuta mkuu.Sitaki kusema Kenya na Zambia
Mmewekewa matuta sababu ya ujinga na upumbavu wenu wakutikufuata sheria!

Ndio maana tuta ni moja ya sheria na alama ya barabarani!
 
Ni kweli JK aliwekeza kwenye starehe il
Mkuu Sasa Mimi ntamchukia magu kwa sababu gani?
Ndio nakushangaa maana kwanza hadi unaingia kaburini wewe na ukoo wako wote hamtaweza kufikia alipo Magufuli sasa hizi chuki sijui shida yako ni nini hasa?
 
Mmewekewa matuta sababu ya ujinga na upumbavu wenu wakutikufuata sheria!

Ndio maana tuta ni moja ya sheria na alama ya barabarani!
Only kwa nchi zenye watu vilaza na viongozi vilaza wasioweza kuweka mipango ya kuwaondoa watu wao kwenye ukilaza
 
Sasa ulivyo wewe kilaza usifikiri kila mtu ni kilaza,,!

Hao viongozi vilaza wanakuingoza wewe, na ukoo wako basi ila sisi wenye akili tunaongozwa na viongozi wenye akili timamu wakiongozwa na jemadari Magufuli, hutaki jinyonge
 
Ndio nakushangaa maana kwanza hadi unaingia kaburini wewe na ukoo wako wote hamtaweza kufikia alipo Magufuli sasa hizi chuki sijui shida yako ni nini hasa?
Mkuu unasema hivyo kwa sababu unajua kuwa mfumo ulioopo hauruhusu kila mtanzania kuwa na haki ya kuchagua na kuchaguliwa kuwa kiongozi,na ukilaza wa wananchi tuliowengi na viongozi wetu unatufanya tusione hilo tatizo.Ila pamoja na umri wangu mdogo I believe am more competent than him
 
Nyundo za Mzee Kikwete za leo si mchezo. Kweli ni dhahili shairi kuwa mtu fulani amechokwa kupindukia.
 
Back
Top Bottom