Wameishamezwa na mfumo tayariWao kama wazee wa chama waingilie kati, else hali ni m baya na itazalisha kundi ambalo litataka linavenge, revenge
And that how vurugu zitakuwa kubwa
Kwa sasa baraza la wazee lipo?Hilo baraza la wazee liliasisiwa na mzee Rais mstaafu J. M. Kikwete.
Si tuliambiwa rimoti ipo msoga au imekuaje tenaπΌKikwete hayupo tena na mama
Sio WHO tu huyo Marehemu ni dizaini ya wale watoto 'Baba kasema' yaan kinatembea kimemo tu basi huyo anapogomaKwahiyo ndio tuseme bila Kikwete Ndugulile asingepata nafasi WHO?
Pamoja na uwezo, lazima siasa za kikanda zichukue nafasi, kuna nchi zinazoongea kifaransa, kiingereza na kireno,Kwa hiyo nafasi hiyo, aliipata kwa uwezo wake au ni mambo ya kisiasa Tena!
Any way,tuambieni yaliyo msibu hadi akafa
Yule Mama yeye kaamua awe chinjachinjaTunaposema Kikwete ni baba wa demokrasia nchini muwe mnaelewa.
Hakuna hakupata kwa uwezo wake alipata kwa uwezo wa 'Baba kasema'Pamoja na uwezo, lazima siasa za kikanda zichukue nafasi, kuna nchi zinazoongea kifaransa, kiingereza na kireno,
Katika majukwaa ya kikanda na dunia lazima upate endorsement, kuwa na uwezo tu haitoshi, nani atakuunga mkono?
Ni ajabu sana!Kwahiyo ndio tuseme bila Kikwete Ndugulile asingepata nafasi WHO?
Marehemu amekulia Zimbabwe na kasomea huko tangu akiwa chekechea mpaka sekondari.Kumbe marehemu ni wa kishua long time
Asingeipata ndio kwani hamjaelewa nini hapo anawaeleza marehemu alikua 'Baba kasema'Ni ajabu sana!
Baba kasema'Marehemu amekulia Zimbabwe na kasomea huko tangu akiwa chekechea mpaka sekondari.
Huyu mzee kila anapoongea haachi hio adhira kama alivyo ikuta,lazima kesho yake kuwe na mjadala wa kauli yake japo anaisema katika engo ya utani mkubwa sana lakini ina maana sana na ina ujumbe wa hajaJK unataka kutuambia nini? Mwenyekiti wa Chama amebariki kuwagawa wa Tanzania na wazee wetu mpo kimya??
Simu Moja tu ππππHuyu mzee kila anapoongea haachi hio adhira kama alivyo ikuta,lazima kesho yake kuwe na mjadala wa kauli yake japo anaisema katika engo ya utani mkubwa sana lakini ina maana sana na ina ujumbe wa haja
Kuna watu wana akili na maarifa ya hali ya juu mno,wana upeo mkubwa sana na wangekuwa viongozi wazuri kuliko tungevyo dhani ila wapo nje ya mfumo kwa sababu wazazi wao hawakuwa kwenye ule mnyororo.Ethnic networks, ukiona kobe juu ya mti ujue kapandishwa. Watoto wa kapuku's watasota sana aisee! That's the fact
Siasa ni mhm hata kama unauwezo kiasi gani. Nadhani unakna hapa Tanzania tunapata viongozi kwa namna gani kwa sababu ya siasa tu.Kwa hiyo nafasi hiyo, aliipata kwa uwezo wake au ni mambo ya kisiasa Tena!
Any way,tuambieni yaliyo msibu hadi akafa
Ndio nilichosema, kwani napi ana nini cha maana hadi kuwa katika top levels za maamuzi ya nchi zaidi ya kuwa baba yake yupo kwenye network? Watu wanatambulishana baba yake nilifanya naye kazi, nilisoma naye, nilikuwa naye JKT, au JWTZ tukiwa maafisa wadogo, ninasali naye, alinipokea wkt naanza kazi, alinipa nyumba ya kupanga bure, alikuwa ananipa lift wakati naanza maisho so nampambania mwanae. Kumbuka huyuhuyu Jk alisema Manji alikabidhiwa na baba yake na anapokuja US anafikia kwa baba yake, so ujue ukwasi wa manji ulioteketezwa na jiwe pia ulitokana na network then yeye na makamba wakasema baba yake napi alimkabidhi yeye na makambaz. So its ethnic network inafanya kazi kula mafao ya nchi. Wewe na maarifa yako kaanzishe shamba au genge la mbogamboga kule, wafanya maamuzi ni wenye surname za mongela, kikwete, mkapa, msuya, natepe, marwa, mboma, pinda, msekwa nk, pia maofisini kote uliza wakurugenzi na wakubwa wote ni nani ndo utajuaKuna watu wana akili na maarifa ya hali ya juu mno,wana upeo mkubwa sana na wangekuwa viongozi wazuri kuliko tungevyo dhani ila wapo nje ya mfumo kwa sababu wazazi wao hawakuwa kwenye ule mnyororo.