Mzee Kikwete: CCM ya sasa ukimtambulisha kiongozi wa Upinzani anaonekana Adui, nilimpigia kampeni Dr Ndugulile WHO, Ummy naye alifanya Kazi Kubwa!

Mzee Kikwete: CCM ya sasa ukimtambulisha kiongozi wa Upinzani anaonekana Adui, nilimpigia kampeni Dr Ndugulile WHO, Ummy naye alifanya Kazi Kubwa!

UVCCM ya zana zake - zama za 'mtandao' imejibu! Kwa sasa inayoosukwa ni hatari zaidi ya zama zile - zaidi ya German shepherd
Nakumbuka walivyomshambulia Ndugai aachie kiti.
 
Hilo baraza la wazee liliasisiwa na mzee Rais mstaafu J. M. Kikwete.
Kwa sasa baraza la wazee lipo?
Itakuwa ni laana ktk nchi kama Mh. Pinda, Mh. J. K, Mh. Warioba (bora huyu anakemea uovu), n.k wakibaki kupigania maslahi ya himaya zao.

Ikiwa kama walioona jua majuzi wanashindwa kuona ya kesho na kutumia jitihada zao kuekekeza njia bora; wakitukanwa, kudhihakiwa n.k wasilie kwa kuwa ni matokeo ya uzembe wao.
 
1733042512451.png
 
Kwa hiyo nafasi hiyo, aliipata kwa uwezo wake au ni mambo ya kisiasa Tena!
Any way,tuambieni yaliyo msibu hadi akafa
Pamoja na uwezo, lazima siasa za kikanda zichukue nafasi, kuna nchi zinazoongea kifaransa, kiingereza na kireno,
Katika majukwaa ya kikanda na dunia lazima upate endorsement, kuwa na uwezo tu haitoshi, nani atakuunga mkono?
 
JK unataka kutuambia nini? Mwenyekiti wa Chama amebariki kuwagawa wa Tanzania na wazee wetu mpo kimya??
Huyu mzee kila anapoongea haachi hio adhira kama alivyo ikuta,lazima kesho yake kuwe na mjadala wa kauli yake japo anaisema katika engo ya utani mkubwa sana lakini ina maana sana na ina ujumbe wa haja
 
Ethnic networks, ukiona kobe juu ya mti ujue kapandishwa. Watoto wa kapuku's watasota sana aisee! That's the fact
Kuna watu wana akili na maarifa ya hali ya juu mno,wana upeo mkubwa sana na wangekuwa viongozi wazuri kuliko tungevyo dhani ila wapo nje ya mfumo kwa sababu wazazi wao hawakuwa kwenye ule mnyororo.
 
Kwa hiyo nafasi hiyo, aliipata kwa uwezo wake au ni mambo ya kisiasa Tena!
Any way,tuambieni yaliyo msibu hadi akafa
Siasa ni mhm hata kama unauwezo kiasi gani. Nadhani unakna hapa Tanzania tunapata viongozi kwa namna gani kwa sababu ya siasa tu.
 
Kuna watu wana akili na maarifa ya hali ya juu mno,wana upeo mkubwa sana na wangekuwa viongozi wazuri kuliko tungevyo dhani ila wapo nje ya mfumo kwa sababu wazazi wao hawakuwa kwenye ule mnyororo.
Ndio nilichosema, kwani napi ana nini cha maana hadi kuwa katika top levels za maamuzi ya nchi zaidi ya kuwa baba yake yupo kwenye network? Watu wanatambulishana baba yake nilifanya naye kazi, nilisoma naye, nilikuwa naye JKT, au JWTZ tukiwa maafisa wadogo, ninasali naye, alinipokea wkt naanza kazi, alinipa nyumba ya kupanga bure, alikuwa ananipa lift wakati naanza maisho so nampambania mwanae. Kumbuka huyuhuyu Jk alisema Manji alikabidhiwa na baba yake na anapokuja US anafikia kwa baba yake, so ujue ukwasi wa manji ulioteketezwa na jiwe pia ulitokana na network then yeye na makamba wakasema baba yake napi alimkabidhi yeye na makambaz. So its ethnic network inafanya kazi kula mafao ya nchi. Wewe na maarifa yako kaanzishe shamba au genge la mbogamboga kule, wafanya maamuzi ni wenye surname za mongela, kikwete, mkapa, msuya, natepe, marwa, mboma, pinda, msekwa nk, pia maofisini kote uliza wakurugenzi na wakubwa wote ni nani ndo utajua
 
Back
Top Bottom