johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
-
- #81
2005 Alimgaragaza Mbowe vibaya Mno 😄Kama vipi Mzee agombee tena mwakani kama Trump anaweza akapita
Kwani sasa hivi nchi inaongozwa na nani?Kama vipi Mzee agombee tena mwakani kama Trump anaweza akapita
Akiwa msibani kwa Faustine Ndugulile Rais mstaafu Dr Kikwete amesema kwa CCM ya sasa kumtambulisha kiongozi wa Upinzani hadharani unaonekana Adui yaani Kirusi.
Kikwete amesema hayo wakati akimtambulisha mbunge wa Viti Maalum Halima Mdee (Chadema)
Aidha Kikwete amesema baba yake Faustine yaani hayati Mzee Ndugulile alikuwa ni Rafiki yake na wamefanya Kazi pamoja Wizara ya Mambo ya nje.
Kikwete amesema alishiriki kumfanyia kampeni za WHO marehemu Faustine kwa kuongea na Viongozi mbalimbali wa Africa nao walikubali kutuunga mkono hata Senegal alipiga Simu kwa Waziri Mkuu naye akakubali Moja kwa Moja kuunga mkono Tanzania.
Pia Ummy Mwalimu alifanya Kazi Kubwa sana kuhakikisha Faustine anashinda.
Nawatakieni Dominica NJEMA 🌹
Ni rahisi sana kusema wana ujinga wakati chama kikuu refa wao, taratibu wanatunga wao, wanateua wasimamiz wao? Wanashindwaje kutumia huo mwanya kujipatia ushindi?Chadema Wana ujinga mwingi
John Pambalu ni nani?Mke wa John Pambalu ni mbunge wa chama gani?
Pumbavu weweHuu ujinga John pombe magufuli ndiye aliyeuleta
Nami nilikuwa nashangaa sana.Sio WHO tu huyo Marehemu ni dizaini ya wale watoto 'Baba kasema' yaan kinatembea kimemo tu basi huyo anapogoma
Bibi kachanganyikiwa na madaraka."CCM ya Sasa" yaani hats ye anashangaa hii ya Sasa !!!
Au anamaanisha yeye ni pamoja na wale wazee wasiosikilizwa ndani ya chama hadi nchi haitulii Kila siku tekateka plus sarakasi kibao!!
Kwa kauli yake ya mtazamo tofauti na wengine amekwishaingilia.........Wao kama wazee wa chama waingilie kati, else hali ni mbaya na itazalisha kundi ambalo litataka linavenge, revenge
And that how vurugu zitakuwa kubwa
Kumbe ndo ilivyo mkuu?Ndugulile anatoka familia bora Sana the same kikwete these guys hawajui shida Ila sijui kwanini pale kigamboni kateka maeneo yote potential na kuweka miradi yake badala ya miradi ya kusaidia wananchi.
Yes ukifika pale anamiliki maeneo yote potential .Kumbe ndo ilivyo mkuu?
Yani huyu Mzee nlikua simpendi Bora Mungu alituondooea hili Baa 21/3/2021 maana lilikua baya zaidi ya Sodoma na Gomora Muasisi wa yote haya matukio ya Umwagaji damuMagufuli alikua nguvu ya wazee kwenye maamuzi ya chama. Nguvu ya wazee iliasisiwa na Nyerere. Kwankulitambua Hilo Magufuli akaamua kuwapunguza nguvu na kuwato katika sehemu ya maamuzi magumu ya chama. Akàanzisha kilichoitwa Baraza la ushauri ambalo halina meno. Kama mnavyojua ushauri ni ama ukubaliwe au ukataliwe. Baada ya kuwanyima nguvu akaanza kuwang'ong'a hadharani wazi wazi akijua hakuna WA kumfanya chilochote. Akaingiza kundi la wajinga na watumia nguvu kwenye chama kuliko hoja huku wakiimarisha ndoa Yao na vyombo vya Dola sambamba na mabadiliko lukuki ya Sheria za usalama na ulinzi!
Uadui miongoni mwa watanzania kwa misingi ya chama iliasisiwa na huyo na Wala hakiwezekani kupingwa. Kikwete alipeleka maendeleo kwa maeneo yalichagua upinzani kama njia ya wlkwashawishi wananchi wakuunge mkono na chama chake. Magufuli aliweka bayana kwamba hawezi na hatopeleka maendeleo Kwa watu wenye itikadi tofauti na chama chake. Alienda mbali kuwafananisha na magunzi na kutaka hadharani. Hii ilichochea na kurasimisha ukatili na uadui dhidi ya upinzani.
Na hayati magu..Chama cha ndugai
Yes ukifika pale anamiliki maeneo yote potential .
Bora waseme ni mbunge wa NCHI(viti maalumu) 🤣Halima Mdee sio mbunge wa Chadema
Chadema 😂😂😂Bora waseme ni mbunge wa NCHI(viti maalumu) 🤣
Wewe utakuwa shoga au fisadi.Yani huyu Mzee nlikua simpendi Bora Mungu alituondooea hili Baa 21/3/2021 maana lilikua baya zaidi ya Sodoma na Gomora Muasisi wa yote haya matukio ya Umwagaji damu
Zee la hovyo hovyo"CCM ya Sasa" yaani hats ye anashangaa hii ya Sasa !!!
Au anamaanisha yeye ni pamoja na wale wazee wasiosikilizwa ndani ya chama hadi nchi haitulii Kila siku tekateka plus sarakasi kibao!!