Mzee Kikwete hawezi kuacha kulitumikia taifa kama Rais Mstaafu eti kwa kuogopa vitisho vya Maaskofu

Nikikumbuka harakati zako za gesi ya Mtwara...."eti gesi haitoki hata kwa mrija wa pen" matokeo huyo huyo unayempigania kwa jina la Allah ndiye alikomba gesi kwa bomba kubwa mkataba ambao Magufuli alisema ulisukwa kiwizi Sana hata tufanyeje hatuwezi kuambulia kitu bora tukajenge bwawa la Nyerere!
 
Maaskofu wakae wakitambua kuwa nchi hii siyo mali ya mfumo kristo,hawana sauti wala mamlaka za kupangia viongozi nini cha kufanya nchi hii.
Kaulize hati yako ya uhuru wa nchi Iko wapi kama siyo Vatican...
 
Kwakua wanaimba tu taarabu kanisani acha waendelee kuimba hukohuko ila wakiingia barabarani na waumini wao kichapo chake kitakua heavy
Kama vile nakuona utakavyokuwa unakimbia bila hata nguo Hilo likitokea...Wenzako tuna lala kifudi fusi madhabahuni kulinda Imani, chezea kijinga Cha moto uunguze misitu!
 

if you could only read btn the lines …
 
Kwani hawajui maaskofu? anawajua sana,na hata alipokuwa rais,walimletea vimbwanga vya kila aina
 
Ndio maana nikakuambia hujui shule ya uongoz. Unavyoingilia kaz za kiongoz aliyopo unamaanisha aliyepo ni mzigo hawez chochote. Na unamnyima haki ya kusimamia uongoz wake.
LINI KIKWETE KAINGILIA KAZI YA SAMIA??

HAO MAASKOFU WAAMBIENI HIZO PhD ZAO WAKAFUNGIE NYAMA ZA KITI MOTO TUH,HAZINA MAANA
 
Huna unachoelewa mdogo wangu mfumo Kristo upo na hauwezi kufa ndani ya hii nchi...na una Nguvu tofauti na unavyodhani, " ikiamuliwa inatekelezwa" Wasalimie Mwanakwerekwe!
 
Mwambie aitishe PRESS awajibu basi.
 
Kwanza ni wapi ambapo imeharamishwa mstaafu kutoa ushauri?

Au ukistaafu unastaafu na kuwa mtanzania?

Wale Jamaa wenu wamemwaga povu kisa tuu wanaona JK anamsaidia au anamshauri yule ambae wao hawampendi na amewashughulikia mapandikizi Yao.

Lile povu sio la Nchi hii.
 
Jamaa lina udini hili.....
 
Ktk watu wazima nimewadharau ni maaskofu wa kanisa katoliki, hv wana ubia ktk uongozi wa serikali yetu? Mbn dini ziko nyingi hivyo vizee vinawashwa na nini, km wameshindwa kuhubiri neno la Mungu wakae kimya, vinginevyo wavue majoho tukutane majukwaani wasijifiche kwenye hayo majoho, hizo ni nguo tu wasifikiri watu wanatishika. Ni wabaguzi, watengeneza chuki, wachochezi, wanagawa watanzania. Kikwete ajitokeze awanange hao mambwa hawana wanaloweza kufanya. Ht Samia aache unyonge km mtu hakutaki na kila mara anakutukana mjibu inavyopaswa hao mambwa hawana ubia na serikali yako mh. Rais, hakuna aliyeomba kura kuongoza hii nchi. Ile novena yao imeishia wapi? Hao ni mashetani hawamjui ht Mungu, walisababisha mauaji ya halaiki Rwanda, Congo DR wameisaidia nini zaidi ya kuchochea vita? Wanatumiwa na mabwana zao wa Ulaya kuharibu nchi yetu. Askofu ambaye hana mtoto wala mke anatoa wapi uchungu na watoto na wanawake wa kitanzania? Vita vikizuka hapa hawana cha kupoteza hao mambwa koko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…