gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
‘Tegeta escrow will go down in history as a major scandal’Tuletee wewe mtaaluma,ila haujajibu nilichokuuliza.
Shida ilikua ni namna hisa zilivyouzwa na si hela za escrow ni za nani
‘Tegeta escrow will go down in history as a major scandal’Tuletee wewe mtaaluma,ila haujajibu nilichokuuliza.
Watakuwa wamechoka kula Matembele kusubiri mpaka 30+ wanaona mbaliii Wanataka wale vidali vya kuku kila siku,Friends and Our Enemies,
Maaskofu wa kanisa katoliki wamefikia sasa hatua mbaya katika siasa za nchi hii,kiufupi sasa kanisa limevuka mipaka.
Rais Mstaafu kikwete ni Rais pekee Mstaafu aliehai katika nchi hii.
Suala la Rais Mstaafu kushiriki katika shughuli mbali mbali za kitaifa na kimataifa siyo suala geni,lipo suala hili tokea zama na zama..na kikwete wala siyo kuwa ni wa kwanza kufanya hivyo.
Kikawaida duniani mara nyingi kama Rais aliepo madarakani ana taka kufanya maamuzi au kwa namna yoyote katika utendaji wake anaona kuna jambo ina mpasa aombe ushauri au uzoefu wa kiutendaji sehemu pekee ambayo anaweza kupata ushauri huo ni kwa Mtangulizi wake au kwa msaafu yeyote kadiri vile atavyoona yeye inafaa.
Kosa la kikwete ni lipi hadi maaskofu waje kushupaza shingo zao kwake?
Kwani Maaskofu wanajiona wao ni nani hasa ndani ya nchi hii hadi wawe na jeuri ya kutoa matamko ya kuingilia utendaji wa serikali au hata kwa hao viongozi wastaafu??na walivyo na unafiki na udini sasa Warioba kila siku anasimama na kukosoa serikali hujawahi waskia wakisema chochote juu ya warioba.
Sasa kanisa katoliki wakae nao hao maaskofu wawaeleze kuwa nchi hii siyo mali ya kanisa,na kanisa halina hati miliki yoyote ndani ya nchi hii wala uongozi wa nchi hii.
Zile zama za mfumo kristo ndani ya nchi hii zimeisha na hazitakuja zitokee tena,na hilo tutahakikisha haliwezi kujirudia.
Maaskofu wafanye kazi zao za kuchunga kondoo na kuhubiri dini,mambo ya kujifanya wao wana kauli juu ya serikali na viongozi wastaafu wakome.
Kikwete ni Rais Mstaafu na Taifa bado linaweza kumtumia kwa ushauri na busara zake za uongozi kama mstaafu,sasa maaskofu mnataka akae kimya au asishiriki shughuli za nchi hii kwa sababu zipi?
Kikwete tafadhali endelea kulitumikia taifa lako kwa weledi na uzalendo wako,hawa maaskofu wasijifanye leo wana uchungu na nchi hii ili hali katika harakati za kupigania uhuru wa nchi hii walikuwa bega kwa bega na wakoloni.,wachague moja kuhubiri dini au kufungua chama cha siasa na wao waingie ulingoni.
🚮Kikwete tafadhali endelea kulitumikia taifa
Imebaki miezi michache sana kuondoka duniani huyo Mzee Kikwete Rais mstaafu wa awamu ya nne. Pigo tayari limefika mlangoni kwake.Friends and Our Enemies,

Dini yako ikukuelekeza kutokula nyama fulani halafu, ukala kwa urafi wako kwa kuwa nyama hiyo ni tamu sana, basi utaishia kuwa li bwabwa tu ambalo halina mbele wala nyuma.Friends and Our Enemies,

Ni ujinga kukichanganya CCM na Udini Udini Sababu ya kukosekana kiongoz Mstaafu wa mkristo kwanza wapo kina Mzee Pinda Nknaunga mkono hoja, Christians hawana power tanzagiza, its over, fikiria tu hili maraisi wastaafu ndiyo waamutzi wa mwisho nafikiri kama sikosei na wanaweza mkata mgombea uraisi (kama ugombea uraisi wa Lowasa ulivyoonyesha), kwenye hilo kundi hakuna raisi Christian hata mmoja anayeishi, na kundi linaundwa na maraisi wa wastaafu zanzibar na muungano, sasa zanzibar wapo wengi maraisi wanaoishi bado lkn wote Muslim, wa muungano kuna raisi mstaafu kikwete na aliyepo samia wote muslim.
what hope is there for Christians in tanzagiza? hii ni playbook against unaoitwa "mfumo Kristo" na sasa ni end game ...
Sijaisikia hii bado ya Maaskofu wa Kanisa Katoliki kumsema vibaya JKMaaskofu wa kanisa katoliki wamefikia sasa hatua mbaya katika siasa za nchi hii,kiufupi sasa kanisa limevuka mipaka.
Maaskofu gani hao?Friends and Our Enemies,
Maaskofu wa kanisa katoliki wamefikia sasa hatua mbaya katika siasa za nchi hii,kiufupi sasa kanisa limevuka mipaka.
Rais Mstaafu kikwete ni Rais pekee Mstaafu aliehai katika nchi hii.
Suala la Rais Mstaafu kushiriki katika shughuli mbali mbali za kitaifa na kimataifa siyo suala geni,lipo suala hili tokea zama na zama..na kikwete wala siyo kuwa ni wa kwanza kufanya hivyo.
Kikawaida duniani mara nyingi kama Rais aliepo madarakani ana taka kufanya maamuzi au kwa namna yoyote katika utendaji wake anaona kuna jambo ina mpasa aombe ushauri au uzoefu wa kiutendaji sehemu pekee ambayo anaweza kupata ushauri huo ni kwa Mtangulizi wake au kwa msaafu yeyote kadiri vile atavyoona yeye inafaa.
Kosa la kikwete ni lipi hadi maaskofu waje kushupaza shingo zao kwake?
Kwani Maaskofu wanajiona wao ni nani hasa ndani ya nchi hii hadi wawe na jeuri ya kutoa matamko ya kuingilia utendaji wa serikali au hata kwa hao viongozi wastaafu??na walivyo na unafiki na udini sasa Warioba kila siku anasimama na kukosoa serikali hujawahi waskia wakisema chochote juu ya warioba.
Sasa kanisa katoliki wakae nao hao maaskofu wawaeleze kuwa nchi hii siyo mali ya kanisa,na kanisa halina hati miliki yoyote ndani ya nchi hii wala uongozi wa nchi hii.
Zile zama za mfumo kristo ndani ya nchi hii zimeisha na hazitakuja zitokee tena,na hilo tutahakikisha haliwezi kujirudia.
Maaskofu wafanye kazi zao za kuchunga kondoo na kuhubiri dini,mambo ya kujifanya wao wana kauli juu ya serikali na viongozi wastaafu wakome.
Kikwete ni Rais Mstaafu na Taifa bado linaweza kumtumia kwa ushauri na busara zake za uongozi kama mstaafu,sasa maaskofu mnataka akae kimya au asishiriki shughuli za nchi hii kwa sababu zipi?
Kikwete tafadhali endelea kulitumikia taifa lako kwa weledi na uzalendo wako,hawa maaskofu wasijifanye leo wana uchungu na nchi hii ili hali katika harakati za kupigania uhuru wa nchi hii walikuwa bega kwa bega na wakoloni.,wachague moja kuhubiri dini au kufungua chama cha siasa na wao waingie ulingoni.
Kwani ujui mzee Pinda nafasi yake kwenye Chama ?? MPANGO makam RAIS bado kuna mzee Wassira Mzee Nchimbi wote wataingia kwenye Wazee Wastaafu !!!!pinda anaingia kwenye jopo la
maraisi wastaafu wanaopitia majina ya watia nia uraisi ccm? …
Uliwahi kumsikia JK akipinga na kukemea maovu yanayofanywa sasa kama wizi wa kura, ufisadi wa mali za umma, utekaji na mauaji ya wananchi, nk??Kikwete ni Rais Mstaafu na Taifa bado linaweza kumtumia kwa ushauri na busara zake za uongozi kama mstaafu,sasa maaskofu mnataka akae kimya au asishiriki shughuli za nchi hii kwa sababu zipi?
Ufisadi na Mgao wa Umeme watanzania tulipauka enzi za kikweteTOKEA LINI KANISA KATOLIKI LIKAWA NA UZALENDO NA TAIFA HILI??
HAPO NI UDINI TUH HAKUNA LOLOTE,KANISA LISEME NI KOSA GANI KIKWETE KALIFANYA HADI AGEUKE KUWA MJADALA HUKO KANISANI KWAO??
AJABU BADALA YA KUTUMIA MUDA WAO KUFANYA IBADA WAMEKAA KUMJADILI MTU AMBAE HAJAWAFANYA KTU CHOCHOTE,SEMA WEWE HAPA KWA USHAHID,KOSA LA KIKWETE NI LIPI??
ACHENI CHUKI ZISIZO NA MPANGO
Ameshindwa kushauri vizuri, deni la Taifa linapaa kwa kasi na nchi inapigwa na wahuniKUMJADILI MTU AMBAE HAJAWAFANYA KTU CHOCHOTE,SEMA WEWE HAPA KWA USHAHID,KOSA LA KIKWETE NI LIPI??
Friends and Our Enemies,
Maaskofu wa kanisa katoliki wamefikia sasa hatua mbaya katika siasa za nchi hii,kiufupi sasa kanisa limevuka mipaka.
Rais Mstaafu kikwete ni Rais pekee Mstaafu aliehai katika nchi hii.
Suala la Rais Mstaafu kushiriki katika shughuli mbali mbali za kitaifa na kimataifa siyo suala geni,lipo suala hili tokea zama na zama..na kikwete wala siyo kuwa ni wa kwanza kufanya hivyo.
Kikawaida duniani mara nyingi kama Rais aliepo madarakani ana taka kufanya maamuzi au kwa namna yoyote katika utendaji wake anaona kuna jambo ina mpasa aombe ushauri au uzoefu wa kiutendaji sehemu pekee ambayo anaweza kupata ushauri huo ni kwa Mtangulizi wake au kwa msaafu yeyote kadiri vile atavyoona yeye inafaa.
Kosa la kikwete ni lipi hadi maaskofu waje kushupaza shingo zao kwake?
Kwani Maaskofu wanajiona wao ni nani hasa ndani ya nchi hii hadi wawe na jeuri ya kutoa matamko ya kuingilia utendaji wa serikali au hata kwa hao viongozi wastaafu??na walivyo na unafiki na udini sasa Warioba kila siku anasimama na kukosoa serikali hujawahi waskia wakisema chochote juu ya warioba.
Sasa kanisa katoliki wakae nao hao maaskofu wawaeleze kuwa nchi hii siyo mali ya kanisa,na kanisa halina hati miliki yoyote ndani ya nchi hii wala uongozi wa nchi hii.
Zile zama za mfumo kristo ndani ya nchi hii zimeisha na hazitakuja zitokee tena,na hilo tutahakikisha haliwezi kujirudia.
Maaskofu wafanye kazi zao za kuchunga kondoo na kuhubiri dini,mambo ya kujifanya wao wana kauli juu ya serikali na viongozi wastaafu wakome.
Kikwete ni Rais Mstaafu na Taifa bado linaweza kumtumia kwa ushauri na busara zake za uongozi kama mstaafu,sasa maaskofu mnataka akae kimya au asishiriki shughuli za nchi hii kwa sababu zipi?
Kikwete tafadhali endelea kulitumikia taifa lako kwa weledi na uzalendo wako,hawa maaskofu wasijifanye leo wana uchungu na nchi hii ili hali katika harakati za kupigania uhuru wa nchi hii walikuwa bega kwa bega na wakoloni.,wachague moja kuhubiri dini au kufungua chama cha siasa na wao waingie ulingoni.
Na yeye yumo kwenye genge la wahuni waliotajwa na mzalendo Balozi PolepoleAmeshindwa kushauri vizuri, debi la Taifa linapaa kwa kasi na nchi inapigwa na wahuni
Ndugulile alipigwa kipapai hata kabla haja report ofisini ili Janabi ale shavu.