Mzee Kikwete hawezi kuacha kulitumikia taifa kama Rais Mstaafu eti kwa kuogopa vitisho vya Maaskofu

Fafanueni basi apumzike katka lepi mana tulimshuhudia Nyerere akihangaika mpaka anakufa. Alifikia hata kutuchagulia Rais na alizunguka nchi nzima kumnadi. Kila akiamka yeye ilikuwa kumsema Mwinyi. Hatukuwahi kusikia mkimwambia apumzike.
Warioba kadhalika na press zake za kuinanga serikali mshamwambia apumzike?
 
Wahuni mmeamua kufa kisabuni?
 
Friends and Our Enemies,

Maaskofu wa kanisa katoliki wamefikia sasa hatua mbaya katika siasa za nchi hii,kiufupi sasa kanisa limevuka mipaka.

Rais Mstaafu kikwete ni Rais pekee Mstaafu aliehai katika nchi hii.

Suala la Rais Mstaafu kushiriki katika shughuli mbali mbali za kitaifa na kimataifa siyo suala geni,lipo suala hili tokea zama na zama..na kikwete wala siyo kuwa ni wa kwanza kufanya hivyo.

Kikawaida duniani mara nyingi kama Rais aliepo madarakani ana taka kufanya maamuzi au kwa namna yoyote katika utendaji wake anaona kuna jambo ina mpasa aombe ushauri au uzoefu wa kiutendaji sehemu pekee ambayo anaweza kupata ushauri huo ni kwa Mtangulizi wake au kwa msaafu yeyote kadiri vile atavyoona yeye inafaa.

Kosa la kikwete ni lipi hadi maaskofu waje kushupaza shingo zao kwake?

Kwani Maaskofu wanajiona wao ni nani hasa ndani ya nchi hii hadi wawe na jeuri ya kutoa matamko ya kuingilia utendaji wa serikali au hata kwa hao viongozi wastaafu??na walivyo na unafiki na udini sasa Warioba kila siku anasimama na kukosoa serikali hujawahi waskia wakisema chochote juu ya warioba.

Sasa kanisa katoliki wakae nao hao maaskofu wawaeleze kuwa nchi hii siyo mali ya kanisa,na kanisa halina hati miliki yoyote ndani ya nchi hii wala uongozi wa nchi hii.

Zile zama za mfumo kristo ndani ya nchi hii zimeisha na hazitakuja zitokee tena,na hilo tutahakikisha haliwezi kujirudia.

Maaskofu wafanye kazi zao za kuchunga kondoo na kuhubiri dini,mambo ya kujifanya wao wana kauli juu ya serikali na viongozi wastaafu wakome.

Kikwete ni Rais Mstaafu na Taifa bado linaweza kumtumia kwa ushauri na busara zake za uongozi kama mstaafu,sasa maaskofu mnataka akae kimya au asishiriki shughuli za nchi hii kwa sababu zipi?

Kikwete tafadhali endelea kulitumikia taifa lako kwa weledi na uzalendo wako,hawa maaskofu wasijifanye leo wana uchungu na nchi hii ili hali katika harakati za kupigania uhuru wa nchi hii walikuwa bega kwa bega na wakoloni.,wachague moja kuhubiri dini au kufungua chama cha siasa na wao waingie ulingoni.
Kulitumikia vipi wakati keshastaafu
Kosa lake ni kutoa jina moja la mgombea Urais kwa Tiketi ya ccm kienyeji pasipo kuwashitikisha wajumbe kwa kupiga kura na makosa mengine ni kushirikiana na Rostam kumshinikiza mama amweke Lisu jela na ushauri mwingineo mwingi usio na tija kwa Taifa , masikofu hawajifanyi wana uchungu na Taifa wao wanasimama na ukweli kuwa mchakato wa uteuzi jina la mgombea Urais kwa Tiketi ya ccm uliingiliwa na kuvurugwa na kikwete, Masikofu ni viongozi wa Amani wapo sahahi kukemea viashiria vya uvunjifu wa Haki na Amani kwani sasa lawama zimetanda Nchi nzima juu ya uteuzi majina wa wagombea ubunge na udiwani
 
Fafanueni basi apumzike katka lepi mana tulimshuhudia Nyerere akihangaika mpaka anakufa. Alifikia hata kutuchagulia Rais na alizunguka nchi nzima kumnadi. Kila akiamka yeye ilikuwa kumsema Mwinyi. Hatukuwahi kusikia mkimwambia apumzike.
Warioba kadhalika na press zake za kuinanga serikali mshamwambia apumzike?
Mfano wako hauna mashiko hao marais marehemu wao walikuwa wakikemea mabaya na kutoa ushauri mzuri, Kikwete yeye kaingilia mchakato wa Uteuzi majina ya ugombea Urais kwa kulazimisha jina moja tu kienyeji na pia yupo na Rostam Azizi kumshinikiza Mama amweke jela Lisu kisa aligusa masilahi yao huko kwenye ununuzi mbuzi bwerere kwa Mgodi wa thamani ya Mabilioni ya Dola
 
Mleta mada kachokoza nyuki alijua atakula posho kwa kumtetea kikwete sasa anajuuta kufungua huu Uzi
 
Wenzake huitwa yeye hujipeleka mwenyewe na kibaya zaidi ni kushirikiana na Rostam Aziz kupora Rasilimali za Nchi
 
Fafanueni basi apumzike katka lepi mana tulimshuhudia Nyerere akihangaika mpaka anakufa. Alifikia hata kutuchagulia Rais na alizunguka nchi nzima kumnadi. Kila akiamka yeye ilikuwa kumsema Mwinyi. Hatukuwahi kusikia mkimwambia apumzike.
Warioba kadhalika na press zake za kuinanga serikali mshamwambia apumzike?
Wahuni mmeamua kufa kisabuni?
Wazuri hawafi
 
Mfano wako hauna mashiko hao marais marehemu wao walikuwa wakikemea mabaya na kutoa ushauri mzuri, Kikwete yeye kaingilia mchakato wa Uteuzi majina ya ugombea Urais kwa kulazimisha jina moja tu kienyeji na pia yupo na Rostam Azizi kumshinikiza Mama amweke jela Lisu kisa aligusa masilahi yao huko kwenye ununuzi mbuzi bwerere kwa Mgodi wa thamani ya Mabilioni ya Dola
Ahaaaa sasa nimewaelewa.
Haya sasa mtoeni JK basi na sio kuja kulialia huku
 
Analisaidia Taifa wakati ni Wanamtandao wanao chezea rasmili za Nchi kwa kujimilikisha kupitia mikataba mibovu?
 
Friends and Our Enemies,

Maaskofu wa kanisa katoliki wamefikia sasa hatua mbaya katika siasa za nchi hii,kiufupi sasa kanisa limevuka mipaka.

Rais Mstaafu kikwete ni Rais pekee Mstaafu aliehai katika nchi hii.

Suala la Rais Mstaafu kushiriki katika shughuli mbali mbali za kitaifa na kimataifa siyo suala geni,lipo suala hili tokea zama na zama..na kikwete wala siyo kuwa ni wa kwanza kufanya hivyo.

Kikawaida duniani mara nyingi kama Rais aliepo madarakani ana taka kufanya maamuzi au kwa namna yoyote katika utendaji wake anaona kuna jambo ina mpasa aombe ushauri au uzoefu wa kiutendaji sehemu pekee ambayo anaweza kupata ushauri huo ni kwa Mtangulizi wake au kwa msaafu yeyote kadiri vile atavyoona yeye inafaa.

Kosa la kikwete ni lipi hadi maaskofu waje kushupaza shingo zao kwake?

Kwani Maaskofu wanajiona wao ni nani hasa ndani ya nchi hii hadi wawe na jeuri ya kutoa matamko ya kuingilia utendaji wa serikali au hata kwa hao viongozi wastaafu??na walivyo na unafiki na udini sasa Warioba kila siku anasimama na kukosoa serikali hujawahi waskia wakisema chochote juu ya warioba.

Sasa kanisa katoliki wakae nao hao maaskofu wawaeleze kuwa nchi hii siyo mali ya kanisa,na kanisa halina hati miliki yoyote ndani ya nchi hii wala uongozi wa nchi hii.

Zile zama za mfumo kristo ndani ya nchi hii zimeisha na hazitakuja zitokee tena,na hilo tutahakikisha haliwezi kujirudia.

Maaskofu wafanye kazi zao za kuchunga kondoo na kuhubiri dini,mambo ya kujifanya wao wana kauli juu ya serikali na viongozi wastaafu wakome.

Kikwete ni Rais Mstaafu na Taifa bado linaweza kumtumia kwa ushauri na busara zake za uongozi kama mstaafu,sasa maaskofu mnataka akae kimya au asishiriki shughuli za nchi hii kwa sababu zipi?

Kikwete tafadhali endelea kulitumikia taifa lako kwa weledi na uzalendo wako,hawa maaskofu wasijifanye leo wana uchungu na nchi hii ili hali katika harakati za kupigania uhuru wa nchi hii walikuwa bega kwa bega na wakoloni.,wachague moja kuhubiri dini au kufungua chama cha siasa na wao waingie ulingoni.
Haki kwa asilimia mia moja haijawahi kuwepo ndani ya JMT, rais awe muislam awe mkristo.

Kumpinga JK kwamba eti astaafu siasa ni sawa na kuipinga asili, ni kupoteza muda kwani ndivyo alivyoumbwa.

Pia kwa Rais kuwa na mshauri aliyewahi kukalia kiti chake huwa ni baraka katika awamu yake, anakuwa na mahali pa kwenda kwa ajili ya kupokea busara na hekima za mtangulizi wake.

Ukitaka kujua sisi Tanzania tunayo bahati tazama nchi zinazotuzunguka kama utamuona rais anayeiva vizuri na mtangulizi wake.

Chiluba alimfunga Kaunda licha ya Kaunda kuwa mmoja wa waasisi wanaoheshimiwa afrika, Mwalimu Nyerere akaenda gerezani kumtembelea rafiki yake Kaunda. Huo huwa uhusiano wa marais wa kiafrika, kwa sisi kuweza kudumisha mnyororo wa wastaafu wanaoishi kwa amani imekuwa heri kwa mustakabali wa kitaifa.
 
Lini umemskia biden akimshauri trump tangu amalize muda wake? Msoga kuna mashamba ya mananasi ajikite huko afungue na kiwanda cha juice ya nanasi watu wapate ajira kodi zilipwe.we chawa vepe?
Obama aliunda team ya wanasiasa wastaafu kwa ajili ya kumshauri kwenye masuala nyeti.

Tatizo hatujui ugumu wa nafasi ya urais tunakuwa wepesi kuona upungufu na kuutolea maneno mengi ya lawama.
 
Kwa mujibu wa taarifa nyeti rais wa awamu ya saba atatoka huku bara makamu kule visiwani.

Atakuwa sio wa dhehebu katoliki, hivyo viongozi wa dini waanze kujiandaa kisaikolojia.
 
Hakuna mtu anayepinga Kikwete kulitumikia taifa kama rais mstaafu kinachopingwa ni uharamia wanaoufanya kama kumpitisha Samia juu kwa juu kuwa mgombea wakati hakusitahili.
Kapitishwa vipi juu kwa juu wakati hayati JPM alimchagua na kumtangaza kwenye mkutano mkuu wa 2015?.

Wastaarabu wanafuga njiwa na kasuku hawafugi chuki.
 
Friends and Our Enemies,

Maaskofu wa kanisa katoliki wamefikia sasa hatua mbaya katika siasa za nchi hii,kiufupi sasa kanisa limevuka mipaka.

Rais Mstaafu kikwete ni Rais pekee Mstaafu aliehai katika nchi hii.

Suala la Rais Mstaafu kushiriki katika shughuli mbali mbali za kitaifa na kimataifa siyo suala geni,lipo suala hili tokea zama na zama..na kikwete wala siyo kuwa ni wa kwanza kufanya hivyo.

Kikawaida duniani mara nyingi kama Rais aliepo madarakani ana taka kufanya maamuzi au kwa namna yoyote katika utendaji wake anaona kuna jambo ina mpasa aombe ushauri au uzoefu wa kiutendaji sehemu pekee ambayo anaweza kupata ushauri huo ni kwa Mtangulizi wake au kwa msaafu yeyote kadiri vile atavyoona yeye inafaa.

Kosa la kikwete ni lipi hadi maaskofu waje kushupaza shingo zao kwake?

Kwani Maaskofu wanajiona wao ni nani hasa ndani ya nchi hii hadi wawe na jeuri ya kutoa matamko ya kuingilia utendaji wa serikali au hata kwa hao viongozi wastaafu??na walivyo na unafiki na udini sasa Warioba kila siku anasimama na kukosoa serikali hujawahi waskia wakisema chochote juu ya warioba.

Sasa kanisa katoliki wakae nao hao maaskofu wawaeleze kuwa nchi hii siyo mali ya kanisa,na kanisa halina hati miliki yoyote ndani ya nchi hii wala uongozi wa nchi hii.

Zile zama za mfumo kristo ndani ya nchi hii zimeisha na hazitakuja zitokee tena,na hilo tutahakikisha haliwezi kujirudia.

Maaskofu wafanye kazi zao za kuchunga kondoo na kuhubiri dini,mambo ya kujifanya wao wana kauli juu ya serikali na viongozi wastaafu wakome.

Kikwete ni Rais Mstaafu na Taifa bado linaweza kumtumia kwa ushauri na busara zake za uongozi kama mstaafu,sasa maaskofu mnataka akae kimya au asishiriki shughuli za nchi hii kwa sababu zipi?

Kikwete tafadhali endelea kulitumikia taifa lako kwa weledi na uzalendo wako,hawa maaskofu wasijifanye leo wana uchungu na nchi hii ili hali katika harakati za kupigania uhuru wa nchi hii walikuwa bega kwa bega na wakoloni.,wachague moja kuhubiri dini au kufungua chama cha siasa na wao waingie ulingoni.
Wee ni kilaza km vilaza wengine.
 
Back
Top Bottom