Mzee Kikwete hawezi kuacha kulitumikia taifa kama Rais Mstaafu eti kwa kuogopa vitisho vya Maaskofu

Friends and Our Enemies,

Maaskofu wa kanisa katoliki wamefikia sasa hatua mbaya katika siasa za nchi hii,kiufupi sasa kanisa limevuka mipaka.

Rais Mstaafu kikwete ni Rais pekee Mstaafu aliehai katika nchi hii.

Suala la Rais Mstaafu kushiriki katika shughuli mbali mbali za kitaifa na kimataifa siyo suala geni,lipo suala hili tokea zama na zama..na kikwete wala siyo kuwa ni wa kwanza kufanya hivyo.

Kikawaida duniani mara nyingi kama Rais aliepo madarakani ana taka kufanya maamuzi au kwa namna yoyote katika utendaji wake anaona kuna jambo ina mpasa aombe ushauri au uzoefu wa kiutendaji sehemu pekee ambayo anaweza kupata ushauri huo ni kwa Mtangulizi wake au kwa msaafu yeyote kadiri vile atavyoona yeye inafaa.

Kosa la kikwete ni lipi hadi maaskofu waje kushupaza shingo zao kwake?

Kwani Maaskofu wanajiona wao ni nani hasa ndani ya nchi hii hadi wawe na jeuri ya kutoa matamko ya kuingilia utendaji wa serikali au hata kwa hao viongozi wastaafu??na walivyo na unafiki na udini sasa Warioba kila siku anasimama na kukosoa serikali hujawahi waskia wakisema chochote juu ya warioba.

Sasa kanisa katoliki wakae nao hao maaskofu wawaeleze kuwa nchi hii siyo mali ya kanisa,na kanisa halina hati miliki yoyote ndani ya nchi hii wala uongozi wa nchi hii.

Zile zama za mfumo kristo ndani ya nchi hii zimeisha na hazitakuja zitokee tena,na hilo tutahakikisha haliwezi kujirudia.

Maaskofu wafanye kazi zao za kuchunga kondoo na kuhubiri dini,mambo ya kujifanya wao wana kauli juu ya serikali na viongozi wastaafu wakome.

Kikwete ni Rais Mstaafu na Taifa bado linaweza kumtumia kwa ushauri na busara zake za uongozi kama mstaafu,sasa maaskofu mnataka akae kimya au asishiriki shughuli za nchi hii kwa sababu zipi?

Kikwete tafadhali endelea kulitumikia taifa lako kwa weledi na uzalendo wako,hawa maaskofu wasijifanye leo wana uchungu na nchi hii ili hali katika harakati za kupigania uhuru wa nchi hii walikuwa bega kwa bega na wakoloni.,wachague moja kuhubiri dini au kufungua chama cha siasa na wao waingie ulingoni.
Magu alikuwa sahihi waache kuwashwa washwa. Mbona Pinda, Sumaye, Malecela na Warioba batuwaoni oni. Kwani wao sio wastaafu?

Wasubirie waombwe ushauri inapobidi.
 
He might no longer exist due to his involvement in the deceitful wrongdoings.
 
Taifa lipi analitumikia zaidi ya kulibagaza? Mke mbunge, mtoto mbunge...huu ni ubinafsi
 
Mmekaa huko kujazana chuki na hasira, wengine hadi mnafikia hatua ya kusema nchi inaongozwa na Kikwete. Rais wa nchi ni Samia. Kikwete ni rais mstaafu.

Mnata ka Kikwete asishiriki kwenye masuala ya nchi hii kwa kosa gani? Ukitaka uzoefu wa uongozi utoke wapi?
Maswala Gani ya nchi? Mtu alishastaafu
 
Unaelewa maana ya kustaafu yaani you no longer needed kaa pembeni ukiitajika utaitwa mara moja tuu
 
Kobazi wenyewe wanajua hawawezi ongozwa na mwanamke, ipo wazi ndio maana jamaa wapo behind the scene.

Kama ni ushauri anatoa, ameshindwa kushauri jinsi taifa linavyochafuka kwa image ya damu za watu kumwagika au ndio price wanayolipa for being great?

Mama ni mwenye huruma tunampenda na tunajua hawezi fikiria hivyo na inaonekana dhahiri ni kosa la ki ushauri, so watu wengine wakishauri mnaleta udini ambao baba wa taifa aliukataa.

Dini haziwapeleki popote maana ni siasa tuu na sisi waafrika sifa yetu ni upendo na ukarimu. Hii ndio dini ya kweli.
 
Friends and Our Enemies,

Maaskofu wa kanisa katoliki wamefikia sasa hatua mbaya katika siasa za nchi hii,kiufupi sasa kanisa limevuka mipaka.

Rais Mstaafu kikwete ni Rais pekee Mstaafu aliehai katika nchi hii.

Suala la Rais Mstaafu kushiriki katika shughuli mbali mbali za kitaifa na kimataifa siyo suala geni,lipo suala hili tokea zama na zama..na kikwete wala siyo kuwa ni wa kwanza kufanya hivyo.

Kikawaida duniani mara nyingi kama Rais aliepo madarakani ana taka kufanya maamuzi au kwa namna yoyote katika utendaji wake anaona kuna jambo ina mpasa aombe ushauri au uzoefu wa kiutendaji sehemu pekee ambayo anaweza kupata ushauri huo ni kwa Mtangulizi wake au kwa msaafu yeyote kadiri vile atavyoona yeye inafaa.

Kosa la kikwete ni lipi hadi maaskofu waje kushupaza shingo zao kwake?

Kwani Maaskofu wanajiona wao ni nani hasa ndani ya nchi hii hadi wawe na jeuri ya kutoa matamko ya kuingilia utendaji wa serikali au hata kwa hao viongozi wastaafu??na walivyo na unafiki na udini sasa Warioba kila siku anasimama na kukosoa serikali hujawahi waskia wakisema chochote juu ya warioba.

Sasa kanisa katoliki wakae nao hao maaskofu wawaeleze kuwa nchi hii siyo mali ya kanisa,na kanisa halina hati miliki yoyote ndani ya nchi hii wala uongozi wa nchi hii.

Zile zama za mfumo kristo ndani ya nchi hii zimeisha na hazitakuja zitokee tena,na hilo tutahakikisha haliwezi kujirudia.

Maaskofu wafanye kazi zao za kuchunga kondoo na kuhubiri dini,mambo ya kujifanya wao wana kauli juu ya serikali na viongozi wastaafu wakome.

Kikwete ni Rais Mstaafu na Taifa bado linaweza kumtumia kwa ushauri na busara zake za uongozi kama mstaafu,sasa maaskofu mnataka akae kimya au asishiriki shughuli za nchi hii kwa sababu zipi?

Kikwete tafadhali endelea kulitumikia taifa lako kwa weledi na uzalendo wako,hawa maaskofu wasijifanye leo wana uchungu na nchi hii ili hali katika harakati za kupigania uhuru wa nchi hii walikuwa bega kwa bega na wakoloni.,wachague moja kuhubiri dini au kufungua chama cha siasa na wao waingie ulingoni.
Kama unavyouliza maaskofu wanajiona ni kina nani jiulize na huyo mstaafu yeye anajiona ni nani kutoa maamuzi binafsi ya kumpa samia uraisi kinyume na watanzania million 60.
 
naunga mkono hoja, Christians hawana power tanzagiza, its over, fikiria tu hili maraisi wastaafu ndiyo waamutzi wa mwisho nafikiri kama sikosei na wanaweza mkata mgombea uraisi (kama ugombea uraisi wa Lowasa ulivyoonyesha), kwenye hilo kundi hakuna raisi Christian hata mmoja anayeishi, na kundi linaundwa na maraisi wa wastaafu zanzibar na muungano, sasa zanzibar wapo wengi maraisi wanaoishi bado lkn wote Muslim, wa muungano kuna raisi mstaafu kikwete na aliyepo samia wote muslim.

what hope is there for Christians in tanzagiza? hii ni playbook against unaoitwa "mfumo Kristo" na sasa ni end game ...
Akili ya kobazi hii
 
TOKEA LINI KANISA KATOLIKI LIKAWA NA UZALENDO NA TAIFA HILI??

HAPO NI UDINI TUH HAKUNA LOLOTE,KANISA LISEME NI KOSA GANI KIKWETE KALIFANYA HADI AGEUKE KUWA MJADALA HUKO KANISANI KWAO??

AJABU BADALA YA KUTUMIA MUDA WAO KUFANYA IBADA WAMEKAA KUMJADILI MTU AMBAE HAJAWAFANYA KTU CHOCHOTE,SEMA WEWE HAPA KWA USHAHID,KOSA LA KIKWETE NI LIPI??

ACHENI CHUKI ZISIZO NA MPANGO
Kikao cha kamati kuu CCM ndiko makosa yalifanyika na yeye akiwa kiongozi mkuu ambaye alitakiwa kuzuia yale makosa yasifanywe.
 
Kikwete amekuwa kwanye kurasa za mbele za magazeti yetu takriban miaka 30 sasa lakini hadi laeo sijui falsafa yake ni nini. Ni tofauti na maraisi wote waliomtangulia ambao falsafa zao zinajulikan sana na hata Magufuli aliyemfuatia pia falsafa yake ilikuwa ni crystal clear bila kujali kuwa watu waliipenda au la. Kikwete anonekana kwua self centered sana. Mke wake na mtoto wake ni wabunge wa bila kupingwa; halafu mke wake anataka bunge liongeze posho za wake wa marais wastaafu zaidi ya posho za bunge anazopata yeye mwenyewe Kikwete haoni kuwa hilo ni tatizo akamshauri mke wake..
 
Sidhani kama watu tunaziona hisia kali zilizomo nyuma ya ulichoandika kama hoja yako. Una hoja maridhawa haswaaa!. Ila hisia zimeibagaza sana jambo linalotuletea mfano wa Halo effect wasomaji.
Back to hood kuna mahali Wazee wa Taifa letu wameacha gap kubwa sana la kiushauri.
 
Friends and Our Enemies,

Maaskofu wa kanisa katoliki wamefikia sasa hatua mbaya katika siasa za nchi hii,kiufupi sasa kanisa limevuka mipaka.

Rais Mstaafu kikwete ni Rais pekee Mstaafu aliehai katika nchi hii.

Suala la Rais Mstaafu kushiriki katika shughuli mbali mbali za kitaifa na kimataifa siyo suala geni,lipo suala hili tokea zama na zama..na kikwete wala siyo kuwa ni wa kwanza kufanya hivyo.

Kikawaida duniani mara nyingi kama Rais aliepo madarakani ana taka kufanya maamuzi au kwa namna yoyote katika utendaji wake anaona kuna jambo ina mpasa aombe ushauri au uzoefu wa kiutendaji sehemu pekee ambayo anaweza kupata ushauri huo ni kwa Mtangulizi wake au kwa msaafu yeyote kadiri vile atavyoona yeye inafaa.

Kosa la kikwete ni lipi hadi maaskofu waje kushupaza shingo zao kwake?

Kwani Maaskofu wanajiona wao ni nani hasa ndani ya nchi hii hadi wawe na jeuri ya kutoa matamko ya kuingilia utendaji wa serikali au hata kwa hao viongozi wastaafu??na walivyo na unafiki na udini sasa Warioba kila siku anasimama na kukosoa serikali hujawahi waskia wakisema chochote juu ya warioba.

Sasa kanisa katoliki wakae nao hao maaskofu wawaeleze kuwa nchi hii siyo mali ya kanisa,na kanisa halina hati miliki yoyote ndani ya nchi hii wala uongozi wa nchi hii.

Zile zama za mfumo kristo ndani ya nchi hii zimeisha na hazitakuja zitokee tena,na hilo tutahakikisha haliwezi kujirudia.

Maaskofu wafanye kazi zao za kuchunga kondoo na kuhubiri dini,mambo ya kujifanya wao wana kauli juu ya serikali na viongozi wastaafu wakome.

Kikwete ni Rais Mstaafu na Taifa bado linaweza kumtumia kwa ushauri na busara zake za uongozi kama mstaafu,sasa maaskofu mnataka akae kimya au asishiriki shughuli za nchi hii kwa sababu zipi?

Kikwete tafadhali endelea kulitumikia taifa lako kwa weledi na uzalendo wako,hawa maaskofu wasijifanye leo wana uchungu na nchi hii ili hali katika harakati za kupigania uhuru wa nchi hii walikuwa bega kwa bega na wakoloni.,wachague moja kuhubiri dini au kufungua chama cha siasa na wao waingie ulingoni.
Mwendo wa spana tuu
 
Na wewe uelewe huyo JK wako yupo kwa ajili yake na familia yake si zaidi ya hapo wala hana msaada na wewe unayeishi kwa kupigania vinyama msikitini .
Hata Maaskofu wako wapo kwa ajili ya Vatican na kanisa na si kukupigania wewe mwimba kwaya ya kanisa
 
Back
Top Bottom