Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
Mzee Kikwete akitoa neno katika msiba ya Hayati Mzee Cleopa Msuya, amesema Mzee Msuya hakuwahi kuitisha waandishi wa Habari na kuanza kuisema Serikali inafanya mambo ya ovyo (Walio msibani wameshangilia sana).
Naona hili jiwe karusha moja kwa moja kwa Mzee Jaji Warioba kwani amekuwa mwiba mkali kwa kuzikosoa Serikali zinapofanya mambo ya ovyo.
Mwenyezi Mungu ampe maisha marefu Mzee Warioba. Hatutaki wazee wastaafu wanaokaa kimya na kusifia tu bila kukosoa.
Pia soma > Mzee Msuya: Jaji Warioba kafanya Kazi kubwa ya kukusanya maoni ya Wananchi, BMK likatumia fedha nyingi na mwisho wa Siku hawana Katiba Mpya