Mzee Kikwete hili jiwe kamrushia Jaji Warioba? Eti Mzee Msuya hakuwahi kuita wanahabari kuisema Serikali

Sidhani kama huyu baba ni msaada kwa hali ilivyo nchini.
Tuendelee kuwaenzi wazee wetu waliobakia; Warioba, Butiku and Ulimwengu.
 
Mzee Kikwete akitoa neno katika msiba ya Hayati Mzee Cleopa Msuya, amesema Mzee Msuya hakuwahi kuitisha waandishi wa Habari na kuanza kuisema Serikali inafanya mambo ya ovyo (Walio msibani wameshangilia sana).

Naona hili jiwe karusha moja kwa moja kwa Mzee Jaji Warioba kwani amekuwa mwiba mkali kwa kuzikosoa Serikali zinapofanya mambo ya ovyo.

Mwenyezi Mungu ampe maisha marefu Mzee Warioba. Hatutaki wazee wastaafu wanaokaa kimya na kusifia tu bila kukosoa.

Pia soma > Mzee Msuya: Jaji Warioba kafanya Kazi kubwa ya kukusanya maoni ya Wananchi, BMK likatumia fedha nyingi na mwisho wa Siku hawana Katiba Mpya
Huyu mstaafu mtu wa madili dili ndo maana hapendi kukosolewa wakati wake na kwa vibaraka wake waliopo madarakani
 
Mzee Kikwete akitoa neno katika msiba ya Hayati Mzee Cleopa Msuya, amesema Mzee Msuya hakuwahi kuitisha waandishi wa Habari na kuanza kuisema Serikali inafanya mambo ya ovyo (Walio msibani wameshangilia sana).

Naona hili jiwe karusha moja kwa moja kwa Mzee Jaji Warioba kwani amekuwa mwiba mkali kwa kuzikosoa Serikali zinapofanya mambo ya ovyo.

Mwenyezi Mungu ampe maisha marefu Mzee Warioba. Hatutaki wazee wastaafu wanaokaa kimya na kusifia tu bila kukosoa.

Pia soma > Mzee Msuya: Jaji Warioba kafanya Kazi kubwa ya kukusanya maoni ya Wananchi, BMK likatumia fedha nyingi na mwisho wa Siku hawana Katiba Mpya
Huyu mzurulaji ndiye mjinga namba moja aliyewahi kuwa kiongozi wa nchi
 
Vipi kwa waliosoma na hawana ajira nahisi hapo utaanza kumuelewa mtoa mada
Jana ulisikia hotuba ya yule mtoto wa CD aliyeko Japan?
Watoto wake ni wakubwa hawakusoma enzi hizi ajira ni za kutafuta kwa tochi
Hata hivyo sehemu kubwa hawa watoto wamepambana wenyewe sio kwa mgongo wa serikali
Walishanusa kuwa huku bongo kinawaka kuhusu ajira na kuchunguliwa na watu wa aina ya mtoa mada
Ndio maana wakatafuta ajira nje ya nchi.

Nakubali hata influence ya baba ilichangia sasa na wewe baba yako awe na influence na watu wa nje tatizo tangu mwanzo aliona shule sio kitu muhimu kwake na hatimaye inaambukiza watoto wao
 
Ndio tatizo la kuongozwa na mzaramu pori(mkwere) wazee wa Ngoma na vijembe
 
Mzee Kikwete akitoa neno katika msiba ya Hayati Mzee Cleopa Msuya, amesema Mzee Msuya hakuwahi kuitisha waandishi wa Habari na kuanza kuisema Serikali inafanya mambo ya ovyo (Walio msibani wameshangilia sana).

Naona hili jiwe karusha moja kwa moja kwa Mzee Jaji Warioba kwani amekuwa mwiba mkali kwa kuzikosoa Serikali zinapofanya mambo ya ovyo.

Mwenyezi Mungu ampe maisha marefu Mzee Warioba. Hatutaki wazee wastaafu wanaokaa kimya na kusifia tu bila kukosoa.

Pia soma > Mzee Msuya: Jaji Warioba kafanya Kazi kubwa ya kukusanya maoni ya Wananchi, BMK likatumia fedha nyingi na mwisho wa Siku hawana Katiba Mpya
Moja ya viongozi wastaafu wapumbavu waliobaki kwenye hii inchi
 
Mzee Kikwete akitoa neno katika msiba ya Hayati Mzee Cleopa Msuya, amesema Mzee Msuya hakuwahi kuitisha waandishi wa Habari na kuanza kuisema Serikali inafanya mambo ya ovyo (Walio msibani wameshangilia sana).

Naona hili jiwe karusha moja kwa moja kwa Mzee Jaji Warioba kwani amekuwa mwiba mkali kwa kuzikosoa Serikali zinapofanya mambo ya ovyo.

Mwenyezi Mungu ampe maisha marefu Mzee Warioba. Hatutaki wazee wastaafu wanaokaa kimya na kusifia tu bila kukosoa.

Pia soma > Mzee Msuya: Jaji Warioba kafanya Kazi kubwa ya kukusanya maoni ya Wananchi, BMK likatumia fedha nyingi na mwisho wa Siku hawana Katiba Mpya
Huyu nae km mstaafu aliyebaki naona imekua shida, ngoja tumuombee Mungu tu sasa

Hatutarudia huko pwani tena
 
Jk kilichotokea kwenye Msiba wa Lowassa kama hakikumfuza kitu JK basi ni sikio la kufa angekaa mbali na Siasa za Tanzania
 
Back
Top Bottom