Nyerere alikosoa hadharani, na je Siri sirini zinasaidia watawala kubadilika?Sahihi kabisa kwa wadhifa alionao mbona inawezekana kabisa kukutana na kiongozi kumweleza madudu ya uongozi wake na kumshauri kabla ya kuita press na kuanza kukosoa na kusema madhaifu hayo hadharani.