Eti familia yake yote iko serikalini? somesheni watoto wenu
Msuya mwaka1955 tayari alikuwa na shahada ya Makerere wengine hapa walikuwa wanawatoa watoto wao shule wakachunge ng'ombe mbaya zaidi anaweza taka honga headmaster ng'ombe mmoja ili amtoe mtoto shule akachunge ng'ombe.Mwenzenu aliwaanda wanaye mtoa mada ndio unavuta shuka wakati pamekucha.Juhudi sasa weka kwa wajukuu kwa wanao umeshachelewa
Yule mtoto wake aliyeko Japan na Canada wamepelekwa na serikali?
Yule binti yake ambaye ni mkurugenzi wa taasisi flani ya kimataifa huko Geneva amepelekwa na serikali?
Uzuri mmoja huyu mzee alikuwa analea watoto wake kwa kutowadekeza walisoma shule za kawaida na sisi